NgimbaErick
Senior Member
- Mar 31, 2020
- 108
- 167
- Thread starter
- #21
Adsense yangu ya kwanza ilikuwa approved mwaka 2013 mwez wa 8 nikiwa nasubr kuingia university na kuanzia hapo ndo nikaanza kujifunza zaid online programs so hyo adsense tushavuta sana hela western union tena kpnd cha nyuma mpaka proxy tulikuwa tunatumia na account hazifungw tofaut na sasa.
Adsense imekuwa ngumu sana now days kupga mzigo mkubwa labda kwa dola 100 kama una traffic ya kueleweka utapata kwa mwez.
Ndo maana weng wenye blog za mwanzo walipga chn wengne tukaamia kwenye affiliate marketing so Am talkin what i'm practice.
siku hz ili upate sana pesa kwa adsense lazma ukubali kusoma sana SEO lacvyo itakuwa tu historia kupata pesa mtandaon, kwa yyte mwenye blog atakubaliana na mm.
Haya Legend kila la heri. mi sikupingi. Mi sijawahi kuitumia kabisa adsense so sina la kusema tena.