Professional Wordpress Website Designing Service
Adsense yangu ya kwanza ilikuwa approved mwaka 2013 mwez wa 8 nikiwa nasubr kuingia university na kuanzia hapo ndo nikaanza kujifunza zaid online programs so hyo adsense tushavuta sana hela western union tena kpnd cha nyuma mpaka proxy tulikuwa tunatumia na account hazifungw tofaut na sasa.
Adsense imekuwa ngumu sana now days kupga mzigo mkubwa labda kwa dola 100 kama una traffic ya kueleweka utapata kwa mwez.
Ndo maana weng wenye blog za mwanzo walipga chn wengne tukaamia kwenye affiliate marketing so Am talkin what i'm practice.
siku hz ili upate sana pesa kwa adsense lazma ukubali kusoma sana SEO lacvyo itakuwa tu historia kupata pesa mtandaon, kwa yyte mwenye blog atakubaliana na mm.

Haya Legend kila la heri. mi sikupingi. Mi sijawahi kuitumia kabisa adsense so sina la kusema tena.
 
Haya Legend kila la heri. mi sikupingi. Mi sijawahi kuitumia kabisa adsense so sina la kusema tena.
Unapoona wameandka kuwa utapata $ nying kwa views kidpgo ukue wanakuvutia kibiashara but kwa average adsense wanalipa $1 kwa views 1000 but kama ni tier 1 countries ndo huwa inapanda sana ila kwa nchi zetu hizi huwa ni CPM ni $1-3.
Alaf ukiwa na views wachache na clicks zinakuwa nying mara kwa mara usubiri kupata burn.
 
Back
Top Bottom