Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Watanzania tusipende kuhitimisha jambo kwa wepesi. Hawa wawili kati ya Asad na Zito lipo jambo wanalijua. Inawezekana pia kilichofanyika kilimaanishwa kama kilivyotekea.
Ukishakutekwa unaambiwa nini cha kusema. Hili suala la kuwa hakuna network linaninitia shaka kubwa. Mtu responsible na family man kama Prof Assad atakaaje kuanzia asubuhi mpaka usiku asipige simu nyumbani kuulizia wanaendeleaje? It doesnt make sense at all!
Labda neno kutekwa ni axaggeration lakini tuseme alitakiwa kwa mahojiano fulani!
FYATU kafyatuka, kupiga picha mpaka netiweki? Msamehe hana hoja analeta viroja. Bora angesema alipelekwa tusheni.
Kipindi hiki cha awamu ya 5 lolote laweza tokea. Kujiamini sana hakufai.Asante kwa kuwa yu salama.Kuna siku niliwahi kuwaambia kuwa tujifunze kukaa kimya, sasa waliozusha habari za kutekwa Prof Assad sijui wataficha wapi sura zao, kwenye video hii anasimulia alipo kuwa.
Ulikuwepo wakati anaingia kwenye gari na ukamwona anapokea simu???Na nyinyi aliposema 1.5Trilion mulimuona muongo lakini aliposema Kisarawe hakuna network munamuona mkweli. Enyi nzi wa kijani ni nani aliyewalaani!
1. Alipoingia kwenye gari simu ilianza kuita
Jee gari alii park Chanika?
alijua gharama ya kusema ukweli na akaibeba. dunia nzima kwa hilo saluti kwake! lakini mara hii gharama ni kubwa mno haiwezi. ile ya mwanzo ilikuwa ni sanasana kutumbuliwa. mara hii umeshikiwa bastola kwenye paji la uso. baridi ya mdomo wa bastola kama barafu. unaambiwa chagua kati ya ukweli na hiyo barafu. najua kabisa bwege kama wewe utachagua barafu. si ndio ice cream( soma crimea, jina la fala mwenzio) tena! prof hakuchagua barafu. bado kuna kitabu anaandika...Kama angekuwa ana kawaida ya kusema uongo basi mpaka leo hii angekuwa CAG
Kuwa kwake Mwana kweli kuligharimu cheo chake na alikuwa anajua gharama ya kusema ukweli ni ipi na akawa tayari kuibeba
vilima vyote Kisarawe vimepambwa kwa minara ya mitandao! network waulize vodacom. walimkatia Kabendera atekwe! vizuri. mbona hakutekwa? njama ilikuwa kutekwa. mazingira waliyoyakuta hayakuruhusu!
Badala ya kuomba radhi, anaendelea kudanganya eti kelele zetu ndio zimewafanya waliomteka wamuachie huru.
Zito yupo sahihi kwa asilimia zote ni kweli huyo mzee Assad alitekwa ingawa walimuachia faster baada ya kusoma upepo unavyokwenda ni vilaza pekee watayaamini maneno ya Assad kwani ni maneno ya kuwakinda ili wasimteke tena,
Uzuri kipindi hiki watanzania wengi wapo makini wanajielewa na wanajua kupima kila kitu, ukimtiza na kusikiliza anachokiongea Assad unagundua anasema uongo ili kujilinda na dhahama zingine na pia kuwaokoa watekaji toka kwenye Dua za watanzania waliokuwa wameapa kuwaombea dua mbaya watekaji wake.
Usiahangae sura yake iko sawa tu! Anayeona aibu ni mtu mwenye akili timamu, mtu kama Zitto aone aibu kwani umuonavyo zinamtosha? Binafsi sioni kama utoto wa chuoni uliwahi kumtoka.Zitto ni malaya wa kisiasa tu, huko alipo sijui atakuwa kaweka wapi sura yake yeye na kigogo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Uelewa mdogo kichwani.Zito yupo sahihi kwa asilimia zote ni kweli huyo mzee Assad alitekwa ingawa walimuachia faster baada ya kusoma upepo unavyokwenda ni vilaza pekee watayaamini maneno ya Assad kwani ni maneno ya kuwakinda ili wasimteke tena,
Utaongea mara ngapi?
Hayp ni maneno yake mwenyeweUlikuwepo wakati anaingia kwenye gari na ukamwona anapokea simu???