Professor Assad Asimulia alipokuwa

Professor Assad Asimulia alipokuwa

ambapo kuitwa kuhojiwa sio crime na ni jambo la kawaida kwa position aliyowahi kuishika... hivyo hakuna point wala cha maana
Ukishakutekwa unaambiwa nini cha kusema. Hili suala la kuwa hakuna network linaninitia shaka kubwa. Mtu responsible na family man kama Prof Assad atakaaje kuanzia asubuhi mpaka usiku asipige simu nyumbani kuulizia wanaendeleaje? It doesnt make sense at all!

Labda neno kutekwa ni axaggeration lakini tuseme alitakiwa kwa mahojiano fulani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku niliwahi kuwaambia kuwa tujifunze kukaa kimya, sasa waliozusha habari za kutekwa Prof Assad sijui wataficha wapi sura zao, kwenye video hii anasimulia alipo kuwa.


Kipindi hiki cha awamu ya 5 lolote laweza tokea. Kujiamini sana hakufai.Asante kwa kuwa yu salama.
 
Na nyinyi aliposema 1.5Trilion mulimuona muongo lakini aliposema Kisarawe hakuna network munamuona mkweli. Enyi nzi wa kijani ni nani aliyewalaani!

1. Alipoingia kwenye gari simu ilianza kuita

Jee gari alii park Chanika?
Ulikuwepo wakati anaingia kwenye gari na ukamwona anapokea simu???
 
nilichofurahi....na kuthink big km great thinker ni pale mwisho alipomalizia kuwa "nafkiri wananchi wanajambo la kuongea ila wanashindwa,wanaitaji katiba"....hilo ni DONGO[emoji4] THINK BIG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama angekuwa ana kawaida ya kusema uongo basi mpaka leo hii angekuwa CAG

Kuwa kwake Mwana kweli kuligharimu cheo chake na alikuwa anajua gharama ya kusema ukweli ni ipi na akawa tayari kuibeba
alijua gharama ya kusema ukweli na akaibeba. dunia nzima kwa hilo saluti kwake! lakini mara hii gharama ni kubwa mno haiwezi. ile ya mwanzo ilikuwa ni sanasana kutumbuliwa. mara hii umeshikiwa bastola kwenye paji la uso. baridi ya mdomo wa bastola kama barafu. unaambiwa chagua kati ya ukweli na hiyo barafu. najua kabisa bwege kama wewe utachagua barafu. si ndio ice cream( soma crimea, jina la fala mwenzio) tena! prof hakuchagua barafu. bado kuna kitabu anaandika...

.
 
Zitto ana stress! Hajui kama mwakani atarudi bungeni ama la

Sent using Jamii Forums mobile app
Badala ya kuomba radhi, anaendelea kudanganya eti kelele zetu ndio zimewafanya waliomteka wamuachie huru.
Huyo ndio mtu anayepambana kutuongoza. Atatupeleka wapi sasa kama ni mfitini na muongo kiasi hicho?
 
Ex CAG is a gentleman. Ndio maana nashangaa Zitto na yeye wapi na wapi
 
Zito yupo sahihi kwa asilimia zote ni kweli huyo mzee Assad alitekwa ingawa walimuachia faster baada ya kusoma upepo unavyokwenda ni vilaza pekee watayaamini maneno ya Assad kwani ni maneno ya kuwakinda ili wasimteke tena,

We sio Mzima.
 
Uzuri kipindi hiki watanzania wengi wapo makini wanajielewa na wanajua kupima kila kitu, ukimtiza na kusikiliza anachokiongea Assad unagundua anasema uongo ili kujilinda na dhahama zingine na pia kuwaokoa watekaji toka kwenye Dua za watanzania waliokuwa wameapa kuwaombea dua mbaya watekaji wake.

Hapo ndo unajidanganya. Unadhani unaelewa Kumbe una usukule wa mawazo na chuki Zako binafai. Hivi kama mtu unamwita Dikteta atashindwa kumfanya bwana wako apate hata kaajali ka lorry na mafuta. Au nyumba kuungua moto nk. Ushamba wenu wa kujua nguvu za Serikali ndo unawafanya muwe so cheap.
 
Zitto ni malaya wa kisiasa tu, huko alipo sijui atakuwa kaweka wapi sura yake yeye na kigogo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiahangae sura yake iko sawa tu! Anayeona aibu ni mtu mwenye akili timamu, mtu kama Zitto aone aibu kwani umuonavyo zinamtosha? Binafsi sioni kama utoto wa chuoni uliwahi kumtoka.
 
Zito yupo sahihi kwa asilimia zote ni kweli huyo mzee Assad alitekwa ingawa walimuachia faster baada ya kusoma upepo unavyokwenda ni vilaza pekee watayaamini maneno ya Assad kwani ni maneno ya kuwakinda ili wasimteke tena,
Uelewa mdogo kichwani.
 
Back
Top Bottom