Professor Assad Asimulia alipokuwa

Professor Assad Asimulia alipokuwa

Huyu wamemwambia aseme nini, short of that watammaliza. Subiri awe na upenyo salama wa kusema ukweli, hutaamini! Unategemea nini kama Idd Amin amekuwekea pistol kama akivyoiweka kwa Janan Luwum?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania Sio Wajinga - Magufuli.
 
Unaijua Kisarawe ilivyo?

Hivi huu ujinga mnautoa wapi? Mwenyewe anasema hakutekwa na kutaja alikokuwa, wewe unalazimisha kwamba akitekwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli alitekwa wewe Amini ya kwake anayosema sasa na Sisi tutaamini kile halisia kilichotokea, kila mmoja abakie kuamini kivyake.
 
Mkuu hilo la Assad liache kama lilivyo wenye Akili wanajua nini kiliendelea na nini kinaendelea sasa.

Lipo JF ndio sababu tunajadili

Lingekuwa linawahusu wenye akili pekee sie Vilaza lisingetufikia

Prof Kakanusha kutekwa sasa nyie Habari hii mliiibua wapi?
 
Waulizeni Tampro wapo pale Magomeni

Jee walikuwa na Warsha Kisarawe

Jee Prof alikuwepo?
Alafu watu ni wajinga sana wanafikiri hiyo kisarawe ipo kama gongo la mboto.

Huko kazimzumbwi anakosema asadi kuwa alikuweko ni porini na kwa wilaya ya kisarawe ukitoka tu pale kisarawe mjini hupatikani tena kwenye simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipo JF ndio sababu tunajadili

Lingekuwa linawahusu wenye akili pekee sie Vilaza lisingetufikia

Prof Kakanusha kutekwa sasa nyie Habari hii mliiibua wapi?
Ni kweli kakanusha kutekwa lakini siyo lazima kuyaamini maneno yake kwani yanaonekani si maneno yanatoka moyoni mwake, mzee Assad atazeeka vibaya kwa kusema uongo ili kuwafurahisha waliomfundisha aongee hivyo
 
Wewe ndio mke wa asadi kwamba kila alipo na wewe unakuwepo? Ulitaka aseme ukweli upi sasa unaotaka wewe?

Twambie basi huo ukweli maana inaonekana jana kutwa nzima umeshinda na asadi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kakanusha kutekwa lakini siyo lazima kuyaamini maneno yake kwani yanaonekani si maneno yanatoka moyoni mwake, mzee Assad atazeeka vibaya kwa kusema uongo ili kuwafurahisha waliomfundisha aongee hivyo

Kama angekuwa ana kawaida ya kusema uongo basi mpaka leo hii angekuwa CAG

Kuwa kwake Mwana kweli kuligharimu cheo chake na alikuwa anajua gharama ya kusema ukweli ni ipi na akawa tayari kuibeba
 
Kama angekuwa ana kawaida ya kusema uongo basi mpaka leo hii angekuwa CAG

Kuwa kwake Mwana kweli kuligharimu cheo chake na alikuwa anajua gharama ya kusema ukweli ni ipi na akawa tayari kuibeba
Uongo wa leo ni wa kulishwa wa kufundishwa lakini huko nyuma hakuwa muongo kabsa
 
Wewe ndio mke wa asadi kwamba kila alipo na wewe unakuwepo? Ulitaka aseme ukweli upi sasa unaotaka wewe?

Twambie basi huo ukweli maana inaonekana jana kutwa nzima umeshinda na asadi!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Punguza jazba mie nina imani wewe unajua kinachoendelea lakini kwa kuwa umekula kiapo kuitetea ccm umeamua kukomaa na walichokutuma ufanye humu Mitandaoni.
 
Hakuna cha punguani kwenye utekaji wa Assad bila upunguani upo kwenye kukiamini anachokizungumza Assad wa leo baada ya kunusurika kuingia shimoni kwa nguvu ya media
Mkuu, haya MATEKAJI ya Serikali yanatumia nguvu kubwa kujisafisha hapa. PUUMBAVU SANA.
 
Back
Top Bottom