Nyie ndiyo mnaruhisiwa kumtisha Assad aseme uongo ili kujilinda dhidi ya aibu ya kiduniaIla " nyie " mnaruhusiwa na maandiko yenu kudanganya ili kuepusha shari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndiyo mnaruhisiwa kumtisha Assad aseme uongo ili kujilinda dhidi ya aibu ya kiduniaIla " nyie " mnaruhusiwa na maandiko yenu kudanganya ili kuepusha shari!
Ukweli alitekwa wewe Amini ya kwake anayosema sasa na Sisi tutaamini kile halisia kilichotokea, kila mmoja abakie kuamini kivyake.Unaijua Kisarawe ilivyo?
Hivi huu ujinga mnautoa wapi? Mwenyewe anasema hakutekwa na kutaja alikokuwa, wewe unalazimisha kwamba akitekwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli watanzania siyo wajinga wanajua kuwa Assad anasema uongo mtupu sasaWatanzania Sio Wajinga - Magufuli.
Kwa hiyo wewe ulikuwepo wakati anatekwa ama? PumbavuStupid, huyu wamemwambia aseme nini, short of that watammaliza. Subiri awe na upenyo salama wa kusema ukweli, hutaamini! Unategemea nini kama Idd Amin amekuwekea pistol kama akivyoiweka kwa Janan Luwum?
Sent using Jamii Forums mobile app
We mpuuzi. Unajimwambafy tu
Mkuu hilo la Assad liache kama lilivyo wenye Akili wanajua nini kiliendelea na nini kinaendelea sasa.
Acha matusi jenga hoja ama bakia na unachokiamini wewe acha wengine waamini wanavyoviamini kila mmoja aamini yake anayowaza juu ya Assad
Alafu watu ni wajinga sana wanafikiri hiyo kisarawe ipo kama gongo la mboto.Waulizeni Tampro wapo pale Magomeni
Jee walikuwa na Warsha Kisarawe
Jee Prof alikuwepo?
Watafuta post zao
Ni kweli kakanusha kutekwa lakini siyo lazima kuyaamini maneno yake kwani yanaonekani si maneno yanatoka moyoni mwake, mzee Assad atazeeka vibaya kwa kusema uongo ili kuwafurahisha waliomfundisha aongee hivyoLipo JF ndio sababu tunajadili
Lingekuwa linawahusu wenye akili pekee sie Vilaza lisingetufikia
Prof Kakanusha kutekwa sasa nyie Habari hii mliiibua wapi?
Wewe ndio mke wa asadi kwamba kila alipo na wewe unakuwepo? Ulitaka aseme ukweli upi sasa unaotaka wewe?Ni kweli kakanusha kutekwa lakini siyo lazima kuyaamini maneno yake kwani yanaonekani si maneno yanatoka moyoni mwake, mzee Assad atazeeka vibaya kwa kusema uongo ili kuwafurahisha waliomfundisha aongee hivyo
Ni kweli kakanusha kutekwa lakini siyo lazima kuyaamini maneno yake kwani yanaonekani si maneno yanatoka moyoni mwake, mzee Assad atazeeka vibaya kwa kusema uongo ili kuwafurahisha waliomfundisha aongee hivyo
Uongo wa leo ni wa kulishwa wa kufundishwa lakini huko nyuma hakuwa muongo kabsaKama angekuwa ana kawaida ya kusema uongo basi mpaka leo hii angekuwa CAG
Kuwa kwake Mwana kweli kuligharimu cheo chake na alikuwa anajua gharama ya kusema ukweli ni ipi na akawa tayari kuibeba
Mkuu Punguza jazba mie nina imani wewe unajua kinachoendelea lakini kwa kuwa umekula kiapo kuitetea ccm umeamua kukomaa na walichokutuma ufanye humu Mitandaoni.Wewe ndio mke wa asadi kwamba kila alipo na wewe unakuwepo? Ulitaka aseme ukweli upi sasa unaotaka wewe?
Twambie basi huo ukweli maana inaonekana jana kutwa nzima umeshinda na asadi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaamua kuepusha shari kwa njia ya kijanja lakini Ukweli unabakia palepale
Mkuu, haya MATEKAJI ya Serikali yanatumia nguvu kubwa kujisafisha hapa. PUUMBAVU SANA.Hakuna cha punguani kwenye utekaji wa Assad bila upunguani upo kwenye kukiamini anachokizungumza Assad wa leo baada ya kunusurika kuingia shimoni kwa nguvu ya media
Yaani Kisarawe panakosa network , hapana Prof.