Professor Assad Asimulia alipokuwa

Professor Assad Asimulia alipokuwa

Ukishakutekwa unaambiwa nini cha kusema. Hili suala la kuwa hakuna network linaninitia shaka kubwa. Mtu responsible na family man kama Prof Assad atakaaje kuanzia asubuhi mpaka usiku asipige simu nyumbani kuulizia wanaendeleaje? It doesnt make sense at all!

Labda neno kutekwa ni axaggeration lakini tuseme alitakiwa kwa mahojiano fulani!
Aliposema 1.5trilion mkaona mkweli ila aliposema kisarawe alipokua mtandao unasumbua mnatia shaka😔enyi manyumbu hivi ni nani aliyewaroga???
 
Zitto naamini siku zote ni mwanasiasa makini, sipendi nijadiri sana kwa sabbu sijui nini chanzo hadi ukatoa taarifa hiyo, ila kimtizamo badiri gia ya gari lako maana unaswaga tu kila kinachokuja mbele yako, ikiwezekana ata njia badiri tu maana kuna siku utaambiwa gari lako limeibwa utakimbilia police kutoa taarifa ya kuibiwa ukiwa ndani ya gari ilo ilo...sijui utajisikiaje ushamaliza kutoa taarifa vile unatoka nje unaona gari lako limepaki, na bdae unagundua wewe mwenyewe umekuja nalo ukidrive..na ndilo gari umetoka kutolea taarifa ya kuibiwa.
Sipendi nkufikirishe sana Kiongozi.
Tunajua chama bado kichanga kipo kwenye harakati, fanya kitu unique kidogo, sasa hivi siasa za namna hiyo na kukosoa zimepitwa na wakati, jipambanue na vyama vingine,kwa mikakati mipana na ujue jamii ya sasa ya mtandao na tech.24hrs on air, ujamaliza kutype tayari washaanza uchambuzi, ni jamii inayoitaji sana Hoja yenye nguvu na Justfications, kitengeneze chama kizoeleke kivingine...JIPAMBANUE
 
Naona Mzee kagoma kuondoka nyumba ya serikali.
Sijui Sheria inasemaje lakini anapaswa kuondoka maana imepita miezi zaidi ya miwili sasa tangu aondolewe madarakani. Mwisho atafukuzwa halafu aanze kulalamika tena.
Hiyo picha inaoneaha Bado yupo Mikocheni kotaz

Tofa
 
Siku zote Prof.anaongea kisomi,lazma tuwe na hofu naye ni mwalimu wetu na mtu muhimu sana.Alichikiongea kina maana kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Mzee kagoma kuondoka nyumba ya serikali.
Sijui Sheria inasemaje lakini anapaswa kuondoka maana imepita miezi zaidi ya miwili sasa tangu aondolewe madarakani. Mwisho atafukuzwa halafu aanze kulalamika tena.
Hiyo picha inaoneaha Bado yupo Mikocheni kotaz

Tofa
Kastsfu hajaondolewa
 
Watanzania tusipende kuhitimisha jambo kwa wepesi. Hawa wawili kati ya Asad na Zito lipo jambo wanalijua. Inawezekana pia kilichofanyika kilimaanishwa kama kilivyotekea.
Nafikiri zitto ni mwanasiasa anaheshimika sana, ameshikiria usukani nyuma yake wakiwepo wanachama na wasiowanachama wake wanaomfuatria kwa ukaribu. Hili tusipoteze imani kwake "Kama kweli ni Mwenyewe binafai alipost" aje adharani atoe taarifa ya Kukanusha kwa maana either atwambia yeye ana Justfications za kutosha kwamba alichokitole taarifa kilikuwa cha kweli maana yake apingane na Prof.., au aseme alipotoshwa kwa taarifa za uongo au yeye binafsi alitoa taarifa za uongo, na atutake radhi kwa sabbu jamii ya watanzania tulitokwa povuuu sana...sasa bila kutusafisha unatufanya kuwa mbuzwazwa, bila kufanya hivo...kiukweli kuna siku utakuja na hoja very sensitive and serious na watu watachukulia poa tu, ni yale yale.
Ni Mtzano tu Kiongozi.
 
Haya ni moja ya Mapungufu ya Zitto.

Pia anatumia nguvu kubwa sana kuijenga ACT lakini akitaka mtaji wa Wafuasi kwa Watu wengine..mfano Seif Sharif Hamad ..

Aliwahi kufanya kosa kama hili kwa Sheikh Ponda, Kabla ya kupata taarifa kamili akaandika R.I.P ..tulionya lakini Leo yanajirudia tena..

Ukaribu na Lissu pia sababu ni mtaji wa Watu..

Zitto akirekebisha hili ni Mwanasiasa Mzuri.
 
Kuna siku niliwahi kuwaambia kuwa tujifunze kukaa kimya, sasa waliozusha habari za kutekwa Prof Assad sijui wataficha wapi sura zao, kwenye video hii anasimulia alipo kuwa.


Jamaa huyu ana Busara na Hekima sana.
 
Haya ni moja ya Mapungufu ya Zitto.

Pia anatumia nguvu kubwa sana kuijenga ACT lakini akitaka mtaji wa Wafuasi kwa Watu wengine..mfano Seif Sharif Hamad ..

Aliwahi kufanya kosa kama hili kwa Sheikh Ponda, Kabla ya kupata taarifa kamili akaandika R.I.P ..tulionya lakini Leo yanajirudia tena..

Ukaribu na Lissu pia sababu ni mtaji wa Watu..

Zitto akirekebisha hili ni Mwanasiasa Mzuri.
Zitto Anafikiri ACT itajengwa kupitia Twitter? Kama ni hivyo basi ni hana akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii awamu ni mbaya kwa wale jamaa wa twitter na facebook, wale wapenda majukumu.

Kibaya zaidi kwao ni kwamba uongozi wa ju umejikita katika kufanya kazi pasipo kujibu mapigo.
 
Back
Top Bottom