Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Kuna siku niliwahi kuwaambia kuwa tujifunze kukaa kimya, sasa waliozusha habari za kutekwa Prof Assad sijui wataficha wapi sura zao, kwenye video hii anasimulia alipo kuwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watafuta post zaoAibu naona mimi!
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kama DC Kasesela na kumzushia Dr Salim kavuta!Katika Zama hizi ni rahisi Sana mtu kulishwa information hewa,Wala sio suala la kumcheka mtu
Katika Zama hizi ni rahisi Sana mtu kulishwa information hewa,Wala sio suala la kumcheka mtu
Alhaj Assad ni mtata kiaina!
Ni nini hicho watu wanadhani hakikufanyika sawa?.........kama ni utumbuzi mbona wametumbuliwa wengi tu!