jay hajasema na p Jay kasema na cosotaHapa wengi mmemwandama Pfunk,,lakin angalieni uandishi wa Prof J , obvious hiyo hela imemuuma sana...rudieni kusoma hiyo tweet yake
Waambie hao... kwani majani kaanza kuvuta baada ya twitter ya Jay?Msiifananishe bangi na vitu vya hovyo hovyo....samahani sana
Bangi ni salama haina shida kwa mtumiaji bali mtumiaji ndo anashida
Bado kungekuwa na maswali, yeye J kalipwa ngapi?
Pitia vizuri makablasha yako Pfunk kakaa MASAKI mzee baba na alikuwa na studio Masaki.
Nachokiona pro j yeye kaweka mambo sawa tu kuhusu hizo taarifa ya cosota wao walikuwa wanazani msanii ndio mwenye hati miliki ya ile biti sijaona ubaya hapo na majani nae pengin hakusikia taarifa vizur ndo mana kaandika post pengine alikuwa anahisi jamaa nae anataka mgaohaya ya kuhusu beat sijali sana, lkn kuna unafiki mkubwa ndani ya bandiko la J, kwanza anajifanya eti anaweka taarifa tu sawa kwamba wala mpango wa gawio hana kabisa. Lkn kwenye maneno ya kwamba sijalipwa hata senti tano ndo unafiki wa J unajidhihirisha kwamba naye alistahili asilimia kadhaa ktk gawio, wakati majani kamchana kwenye kudai J wala hakuwa na habari, ila zimetoka anatamani angepewa walau visenti kadhaa.
Kwani Prof J ni my amaji wa majani kiasi cha fedha alicho lipwa kilistahili kutajwa au swala lingebaki kwa majani?Majani hajakanusha alichosema Prof. Na Prof hajalalamika, ameweka rekodi sawa nani kapata nini.
Mbona kama Majani anawaka bila msingi?
Au kuna vita zaidi nyuma ya pazia?
Inaonyesha Majani alikuwa na dukuduku miaka mingi kupitia mafanikio ya Professor. Sijaona sababu ya Majani kusema heshima yake imefikia hapo ,kisa statement hii?Mpuuzi sana huyu Producer bangiSijaona mahali Prof Jay kulalamika hajalipwa, alichopost ni kama taarifa tu ni bahati mbaya Majani kaitafsiri vibaya.
Yahp ana ego fulani hivi inamsumbua sana.. akijicheki alipo prof j na alipo yeye nadhani inamtatiza ukizingatia yeye ndo kaplay part kubwa kwenye ngoma nyingi za jay..(nadhani ni msanii aliyefanya kazi nyingi na p funk).. wivu fulani hivi..
Na hiki ndo watu wengi wamesahau au wanajisahaulisha maksudi,jeez ni pokitician now lazima kauli zozote znzomuhusu aweke clarifications.jay hajasema na p Jay kasema na cosota
usisaau ye ni mbunge kitu chochote cha uongo kitaaribu safari yake ya kisiasa
emb fikiria ccm waanze nae kwamba bila wao asingezipata izo pesa
think beyond mkuu jay ni mwanasiasa asaiv