Sio kwa majani.
Kwenye interview za majani alisema business modal yake ilikuwa tofauti na MJ ambaye yeye huwa anatoza studio time sio kununua beats.
Kutoka kwenye hiyo video dakika ya 8 na kuendelea P FUNK anaelezea hilo.
Yeye alikuwa anafanya kwa mtindo wa label hivyo alikuwa hacharge msanii yeyote pesa na akatoa mfano wa diamond na WCB hivyo
beats zote za bongo records ni mali ya bongo records chini ya p funk.
Na hilo ulilongea kuwa msanii akilipa beats ndio umenunua pia sio kweli, Unapoenda studio unalipia unalipia studio session na sio beat Kwa mujibu wa MJ pia mikataba ya COSOTA, beat inaendelea kubaki mali ya prodyuza.
Mfano Windows ni mali ya microsoft pamoja unanunua kwa dolla zaidi ya 200 bado Microsoft wanabaki na haki ya umiliki au nguzo za tanesco.