haya ya kuhusu beat sijali sana, lkn kuna unafiki mkubwa ndani ya bandiko la J, kwanza anajifanya eti anaweka taarifa tu sawa kwamba wala mpango wa gawio hana kabisa. Lkn kwenye maneno ya kwamba sijalipwa hata senti tano ndo unafiki wa J unajidhihirisha kwamba naye alistahili asilimia kadhaa ktk gawio, wakati majani kamchana kwenye kudai J wala hakuwa na habari, ila zimetoka anatamani angepewa walau visenti kadhaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa hapo kwenye Kuona kitu kweli kipo maana Ukimtengenezea beat msanii je Linabaki kuwa lako na wimbo ndo wake au????? Sijaelewa uhalali wa Majani kumiliki lile beat au ndo mkataba upo hivyo???? By the way Prof J alikuwa anaweka kumbukumbu sawa... Kijanja..