Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kwa sasa siyo siri!Pamoja na yote postmortem ya Edward Moringe Sokoine hakuandikwa au kuwekwa wazi.
Na ndiyo maana wanae walipoamua kuhamisha mwili pale ulipozikwa ulisimamiwa na wabeba mtutu.
All in all asingewezza kupingana na Mwalimu
Word of mouth(majunguuuuz) ni kwamba ajali ya Edwadi aligongana na Shaba, maana alianza kuwa much know kuliko wajuvi wa kisasa.