Professor Lipumba: Kila Mtanzania apewe $ 1000 za gas.

Professor Lipumba: Kila Mtanzania apewe $ 1000 za gas.

Mupirocin

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
1,739
Reaction score
748
From TBC now mwanazuoni wetu:
Refer kichwa cha habari hapo juu, Prof. Anasema eti kila mtanzania apewe dollars 1000 eti kuwawezesha wananchi kumudu maisha. Kwa hali ya Tanzania sasa dollar 1 sawa na Tsh 1618, kwa hiyo dollar 1000 sawa na 1,618,000/= sasa ukimpa huyu mtanzania hizi hela kwa uchumi wa kikwete baada ya siku mbili hana kitu. Hapa ukiwapa hizi pesa zaidi tutaongeza ulevi na kuwa taifa la walevi, lakini pia tutatengeneza genge jingine la ufisadi.
Ushauri wangu mimi si mchumi ni medical doctor nimesoma uchumi kidogo na ujasilia mali kwenye Ds hapa naweza mpiga gap Prof. Limpumba.
Mtazamo wangu
1. Kama hizi fedha hizi zipo kweli basi ni vema tukawafungulia account watoto wote mfano kuanzia leo wote waliochini ya miaka mitano ili ije kumsaidia baadaye kwa shule au mitaji au mkopo. Na pengine hizi pesa ziwasaidie kwenye higher learning.
Huu ni mtazamo wangu.
Au kama vip waboreshe miundo mbinu ya barabara, afya, elimu, nk. na ruzuku kwenye kilimo au mikopo kwenye kilimo na wajasiliamali.
Lakini kama tukifanya kama anavyosema Prof tutaishia kule kwenye mabilion ya Jk hata ukimuuliza Leo zile hela zilifanyia nini hata majibu hana.
Kwa hiyo Prof kama kiuchumi ndo utafanya hivi basi hufai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji na ndiyo maana rais mwinyi ulimshauri vibaya.
Mbaya zaidi anasema eti kugawa tutagawa kwa kutumia simu na bank, wananchi wanagapi wanacm na wangapi sasa wanajua hata bank ilipo, binafsi sikuungi mkono prof. Kama upo humu naomba uje uclarify may be sijakuelewa.
 
Ana maana tugawane hard cash au ziingizwe ktk namna nyingine ambayo kila mmoja atapata gawio sawa na hiyo hela?
 
Anataka tugawiwe cash, hata mtangazaji nimeonana anamshangaa.
 
Bado siamini kama Professor anaweza kuongea Pumba kama hizo ,kwanini hizo hela zisijenge viwanda vingi wananchi wengi wakapata ajira? Kwanini tusiwawezeshe wakulima wadogo waachane na jembe la mkono na kuwa wakulima wa kati kwa teknolojia na kuongeza ukubwa wa shamba? kwanini tusiongeze udahili wa wanafunzi kuanzia sekondari,vyuo vya ufundi hadi vyuo vikuu na kuziboresha hizo taasisi za elimu,kwanini tusijenge barabara hadi huko vijijini kurahisisha usafirishaji wa mazao??? Khaaa ideas ni nyingi sana za kufanyia hizo hela kuzigawa burebure ni kuchochea uvivu tu
 
Mtazamo wako ni mzuri! (Hasa ukizingatia kwamba na wewe ni mmoja wa watu wenye watoto/chini ya umri wa miaka 5. Hivyo wakifuata mawazo yako utafaidika. Its a joke)
Kama kweli zipo/zikipatikana hizo pesa, zitumike kupunguza machungu ya kodi(kwa namna gani? walio soma uchumi watatusaidia)
Vianzishwe/viboreshwe viwanda vilivyopo ili Export ya ready made goods iwe kwa kiwango kikubwa. Ikumbukwe kuwa unapouza vitu nje ndipo pato kwa namna flani linaongezeka.
Pato likiongezeka nadhani gharama za maisha zinakuwa nafuu kidogo. Kwa upande mwingine pato hilo laweza tumika kuendesha suala la nishati ambalo ni tatizo kwa sasa. Hapo Mtanzania kwa namna moja ama nyingine anaweza kuwa amefaidika.
 
Bado siamini kama Professor anaweza kuongea Pumba kama hizo ,kwanini hizo hela zisijenge viwanda vingi wananchi wengi wakapata ajira? Kwanini tusiwawezeshe wakulima wadogo waachane na jembe la mkono na kuwa wakulima wa kati kwa teknolojia na kuongeza ukubwa wa shamba? kwanini tusiongeze udahili wa wanafunzi kuanzia sekondari,vyuo vya ufundi hadi vyuo vikuu na kuziboresha hizo taasisi za elimu,kwanini tusijenge barabara hadi huko vijijini kurahisisha usafirishaji wa mazao??? Khaaa ideas ni nyingi sana za kufanyia hizo hela kuzigawa burebure ni kuchochea uvivu tu

mkuu hata mimi sikuamini haya, ila nimesikia mwenyewe kwa masikio yangu, na ndiyo maana nimesema kama yupo aje afafanue nielewe coz shule yake sikumuelewa kabisa. Swala la kuweka akiba kwa watoto linafanyika nchi nyingi duniani hasa ulaya. Hii inawezekana if we are committed.
 
Roughly: Dola 1000 kwa watanzania 40,000,000
Unapata Usd 40,000,000,000
Tuna uhaba wa Mahospitali, uhaba wa madawa uhaba wa Vifaa vya kutibia, uhaba wa Madaktari.
Uhaba wa Mashule, uhaba wa vifaa vya kufundishia, uhaba wa walimu.
Kwa nini watu wapewe mkononi badala ya kuelekezwa kwenye mahitaji muhimu?
Uchu wa madaraka unamsumbua huyu Mtu, anaongea tu hata visivyotekelezeka
 
Huyu jamaa anaongea hii ishu kila mahali anapo enda kupiga V4C, Anazungumzia Cash economy ,
 
Huyu jamaa anaongea hii ishu kila mahali anapo enda kupiga V4C, Anazungumzia Cash economy ,

Alaska Oil Wealth Nets State Residents $1,174 Checks

r-ALASKA-OIL-WEALTH-large570.jpg
[COLOR=#333333 !important]The above photo shows Mendenhall Glacier in Juneau, Alaska (Thinkstock)

[/COLOR]
[COLOR=#1A1A1A !important]BECKY BOHRER 09/20/11 07:48 PM ET
ap_wire.png

UNEAU, Alaska - Most Alaska residents will soon be getting a check for $1,174 simply because they live there.
Each person's share of the state's vast oil wealth was announced with much fanfare in Anchorage Tuesday, with Gov. Sean Parnell ripping open a gold-colored envelope to reveal the number. This day is so widely anticipated in Alaska that the announcement of the Permanent Fund Dividend amount was carried live on television statewide, and dozens tuned in to watch a live webcast by the governor's office.
This year's check is the smallest since 2006 and $107 less than last year's amount, which was $1,281. Parnell warned the amount could diminish more in the future, given market volatilities and the fact that oil production in the state is declining. Nonetheless, he called this year's amount "healthy."
State Revenue Commissioner Bryan Butcher said
647,549 Alaskans were deemed eligible to receive dividends, and about $760.2 million is expected to be paid out. Most Alaskans will get their dividends by direct deposit Oct. 6; the rest will receive checks in the mail.
The 2010 U.S. Census put Alaska's population at 710,231.
Already, Alaskans are making plans for how they'll use their dividends, from paying bills to putting the money toward a new car to buying sled dogs. Retailers are advertising "PFD" sales. So is Alaska Airlines, whose offer is popular in a state where few communities are connected to a road system and the cost of going to the nearest city to shop – or just get away – adds up fast.
While the extra money is a great perk, it doesn't always go far in a state where some rural residents pay $7 or more a gallon for gasoline and one study showed food costs for a week could run into the hundreds of dollars for a family of four.
Vern Weiss owns Moochers Bar and Grill in Nenana, a community of about 380 people 55 miles southwest of Fairbanks. He said he spends about the amount of last year's check in a week on food and beverages for his business. Still, every bit helps. The economy in that area is tough, and he said he has barely been able to make sure his employees are paid. A dividend check, he said, can help pay a lot of little bills.
Voters passed a constitutional amendment in 1976 to establish the Permanent Fund as a way to stretch out the state's oil wealth for future generations. At the time, Alaska had just experienced a construction boom spurred by a $900 million bonus payment from energy companies for oil discoveries.
Parnell said one of his great duties as governor is being able to announce the annual dividend, calling it a "unique duty that 49 other governors likely wish they had." He said he and his wife, Sandy, would likely put their dividends toward the cost of college for their two daughters.
Last year, $783.4 million was paid to 611,522 people, according to the Alaska Permanent Fund Dividend Division. The fund ended the recent fiscal year with a balance of $40.1 billion.
Alaskans received their largest dividend – $2,069 – in 2008, according to the dividend division. In 2006, the dividend was $1,106.96.
Bosco Olson Sr., city administrator of Hooper Bay, said dividend announcement day is like Christmas, with the town's 1,100 residents patiently waiting and excited.
Olson, whose town is about 500 miles west of Anchorage, said he's considering using his dividend for a new lead dog or two for his sled dog team.


[/COLOR]
 
[SIZE=+3]Alaska's Oil Wealth
Article #453[/SIZE]

[SIZE=+1]by T. Neil Davis[/SIZE]

This column is provided as a public service by the Geophysical Institute, University of Alaska Fairbanks, in cooperation with the UAF research community. T. Neil Davis is a seismologist at the institute.
[SIZE=+1]The lowest official estimate of Alaska's income from petroleum resources over the next ten years is 455 billion dollars.[/SIZE]
[SIZE=+1]That statement was made at a recent symposium in Anchorage on energy wealth redistribution sponsored by the Alaska Growth Policy Council. Even those people at the meeting who were familiar with big numbers had a hard time comprehending just how much money 455 billion dollars really is and what it might buy.[/SIZE]
[SIZE=+1]Whatever that sum means, the speaker citing the amount went on to quote former legislator Steve Cowper who said that it was more money than Alaska will be allowed to keep, and of course, that was the central topic of the symposium.[/SIZE]
[SIZE=+1]Supposing that Alaska is allowed to keep the money, I did a little calculation to see how far the money would stretch if it were given out to each Alaskan resident. Rounding off the numbers a bit, assume there are 400,000 Alaskans and that the 10 years of oil wealth is just 400 billion dollars. Averaged over the ten years, that amounts to 40 billion dollars per year to distribute. Equal division among the citizens yields one hundred thousand dollars each, per year. That's a right tidy sum; a family of two adults and three children could get by very nicely on a half million dollars each year.[/SIZE]
[SIZE=+1]Maybe it's not such a good idea just to give out that much money because we would not have anything left to run state government and provide the public services we desire. Instead, we could hire the citizens to work for the state to provide whatever government and services we want, and we could just pay each family $100,000 per anum, leaving more than half the total to bank. If that sounds far-fetched, consider that more than half of job holders living in Alaska already work for governments: federal, state or local[/SIZE]
 
Mkivuna mapesa kwenye natural resources zenu, sio dhambi kuwapatia wananchi dividends kama Alaska wanavyofanya.
Lipumba hajakurupuka tu, anajua anachoongea
 
Kwa sababu kwa wananchi wa kawaida wanakuwa excited na kuwaza kumalizia kupaua nyumba zao za nyasi.

Angesema gas itumike 40 t kuboresha sekta ya afya tupate matibabu bure kabisa. Na mafuta yaboreshe elimu iwe bure kabisa. Labda dhahabu iboreshe usafiri, tanzanite iboreshe kilimo. Tena tungeona kipi hakina faida kwetu ili tuache kuchimba kabisa (hapa natumia domestic thinking ya kimama mama)
Huyu jamaa anaongea hii ishu kila mahali anapo enda kupiga V4C, Anazungumzia Cash economy ,
 
Hizo "dividends" za mafuta tutagawiwaje watanzania wakati tayari wanaume wamekwisha wekewa kwenye akaunti zao Uswisi!
 
Kwa wachumi hiyo nadharia siyo ya ajabu na inatumika duniani katika kuupa-boost uchumi.

Katika mwaka 2008 Japani iligawa pesa kwa kila mkazi, watumie ili kuongeza mzunguko wa pesan chini

Kwa wastani ilikuwa dola mia moja hivi, ila watoto na wazee walipewa mara mbili yake
 
Hakuna ubaya wowote na Prof. is on point na itasaidia sana uchumi kukua ,hivi mnafikiria watu wakipewa hizo pesa zitaenda wapi? zote zitaingia kwenye local economy na watu watapata kazi...hizo story za kujenga shule barabara au health care zote tunajua na hatusemi watu wapewe cash na hivyo vitu visifanyike,nchi nyingi zilizoendelea wanafanya hivyo vitu sana to stimulate their economy,vitu kama tax cut,unemployment benefit nia kubwa ni kuweka pesa mikononi mwa wananchi ili wazitumie ...namuunga mkono prof. Lipumba
 
Hakuna ubaya wowote na Prof. is on point na itasaidia sana uchumi kukua ,hivi mnafikiria watu wakipewa hizo pesa zitaenda wapi? zote zitaingia kwenye local economy na watu watapata kazi...hizo story za kujenga shule barabara au health care zote tunajua na hatusemi watu wapewe cash na hivyo vitu visifanyike,nchi nyingi zilizoendelea wanafanya hivyo vitu sana to stimulate their economy,vitu kama tax cut,unemployment benefit nia kubwa ni kuweka pesa mikononi mwa wananchi ili wazitumie ...namuunga mkono prof. Lipumba

Pointi ila kwa maisha yetu ya kibongo hiyo itakuwa kutatua tatizo kwa muda baada ya muda tunarudi kule kule kwenye ugumu wa maisha though kwa kuongezeka mzunguuko wa pesa kuna ambao watafanikiwa kupata super profit maana shughuli zao za kiuchumi zitapata wateja. Hii ni nzuri kama taifa lina idadi kubwa ya watu wenye shughuli za kiuchumi za kueleweka (kama ni mkulima awe na uwezo wa kuvuna mazao ambayo yanaweza ku-sustain miezi zaidi ya 6 ili akizipata hizo ela anakuwa ana room ya kujipanga for new season but kwa utaratibu huu wa mkulima akivuna ndani ya miezi 2 amemaliza chakula chote kwa kuuza mpaka mbegu itakua ngumu, nimegusa kwenye kilimo kwa watu wengi wa vijini na nikija hapa mjini mbona ndio itakua kasheshe maana kuna watu wengi wanaishi kiujanja ujanja ili mradi mdomo uende kinywani mwisho wa siku wakipata hizo ela watakwenda kupiga laga na kununua item ambazo si productive though sio wote)

Ni mawazo yangu tu haya maana kwa sie watz ukiacha kodi tunayolipa kupitia VAT ambayo nayo inachakachuliwa na wafanyabiashara sidhani kama tumefikia level hiyo ya kugawa fedha pamoja na kwamba ni kitu kizuri
 
Hata kwa mtoto wa darasa la saba anaweza kuelewa hili - hakuna nchi yoyote dunia imeshawai kuwapa wananchi wake cash ambayo total ni 571% ya bajeti yake yote ya mwaka hata kwa nchi ambazo bajeti yake inajitosheleza kwa asilimia 100.

Lakini kwenye maelezo sijaona time scale. Hawa ndio wale wakipewa urais kwa kigezo kama hiki anasema nilimaanisha dola 1000 kwa kipindi cha miaka 50 na itaanza baada ya miaka 15!
 
Labda niulize swali dogo- Hiyo pesa ya kulipa dola 1000 kwa kila mwananchi itapatika wapi?
 
Inategemea hiyo divedend mnatoa kwa style gan. Wenzetu wameendelea, wana kila kitu. Hata ukiwapa hard cash itaendelea kuchochea uchumi. Sisi hata ukitupa hizo hela tutazid kuimport sana coz hatuna viwanda vitakavyo zalisha vitu vitakavyotufanya tutumie hela zetu.
 
Back
Top Bottom