Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,739
- 748
From TBC now mwanazuoni wetu:
Refer kichwa cha habari hapo juu, Prof. Anasema eti kila mtanzania apewe dollars 1000 eti kuwawezesha wananchi kumudu maisha. Kwa hali ya Tanzania sasa dollar 1 sawa na Tsh 1618, kwa hiyo dollar 1000 sawa na 1,618,000/= sasa ukimpa huyu mtanzania hizi hela kwa uchumi wa kikwete baada ya siku mbili hana kitu. Hapa ukiwapa hizi pesa zaidi tutaongeza ulevi na kuwa taifa la walevi, lakini pia tutatengeneza genge jingine la ufisadi.
Ushauri wangu mimi si mchumi ni medical doctor nimesoma uchumi kidogo na ujasilia mali kwenye Ds hapa naweza mpiga gap Prof. Limpumba.
Mtazamo wangu
1. Kama hizi fedha hizi zipo kweli basi ni vema tukawafungulia account watoto wote mfano kuanzia leo wote waliochini ya miaka mitano ili ije kumsaidia baadaye kwa shule au mitaji au mkopo. Na pengine hizi pesa ziwasaidie kwenye higher learning.
Huu ni mtazamo wangu.
Au kama vip waboreshe miundo mbinu ya barabara, afya, elimu, nk. na ruzuku kwenye kilimo au mikopo kwenye kilimo na wajasiliamali.
Lakini kama tukifanya kama anavyosema Prof tutaishia kule kwenye mabilion ya Jk hata ukimuuliza Leo zile hela zilifanyia nini hata majibu hana.
Kwa hiyo Prof kama kiuchumi ndo utafanya hivi basi hufai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji na ndiyo maana rais mwinyi ulimshauri vibaya.
Mbaya zaidi anasema eti kugawa tutagawa kwa kutumia simu na bank, wananchi wanagapi wanacm na wangapi sasa wanajua hata bank ilipo, binafsi sikuungi mkono prof. Kama upo humu naomba uje uclarify may be sijakuelewa.