Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

Njaro

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Posts
356
Reaction score
787
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.

Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
 
Huo umoja yeye si alishaukataa?
Kama mwenyekiti wa CUF akiwa Lipumba this time around, bora UKAWA ivunjwe tu mapema ili kila chama kijipange kivyake. Maana huyu anakoelekea atavujna umoja huo 2020 kwa maslahi ya CCM
 
Sawa kabisa. Naunga hoja, Mheshimiwa Lipumba.
 

Anakumbuka shuka asubuhi?Hao Madiwani wake wako wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…