Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.
Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja