Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

View attachment 406971washaanza kushikana uchawi sasa,
Wallah huyu proffesor kashakuwa brainwashed, ccm wamefika bei,
Ukitaka kujua ccm wamefika bei, maandamano ya kumsindikiza lipumba policcm wameyachunia,
Hata kama ni brainwashed lakini huyu sasa kazidi! Naamini kitu alichopost Mtatiro hapo awali kilikua sahihi na huenda watu wanamsikiliza mwenyekiti wakati kumbe tukisahau kuwa kuna mstari mwembemba sana kati ya utimamu wa akili na ukichaa!
 
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.

Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Hii kitu ilianza tangu wakati wa kampeni 2015 na ndio iliyopelekea Matatiro na wenzie kukosa ubunge.
Sasa hapo ndo itajulikana kama Ukawa ni 'chadema power' kama ilivyokuwa inalalamikiwa na kumpa Mbatia ubunge au ni kwa manufaa ya vyama vyote.
 
Safi sana Prof Lipumba, inusuru cuf kumezwa na Mafisadi Chadema
Ha ha ha akili za mtanzania bwana!....huyo huyo uliyemkimbia na kumkana kama Fisadi ndio kakupa madiwani unaojipiga kifua kuwa mgawane umeya! Kama wewe mwanaume kweli na msomi wa PhD usiwatambue na Hao madiwani wa CUF waliopatikana kwa mgongo wa huyo uliyemkimbia! shame!
 
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.

Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Asiyependwa kaja.......
 
Huo umoja yeye si alishaukataa?
Kama mwenyekiti wa CUF akiwa Lipumba this time around, bora UKAWA ivunjwe tu mapema ili kila chama kijipange kivyake. Maana huyu anakoelekea atavujna umoja huo 2020 kwa maslahi ya CCM
Yeye ndiye aliyeanzisha na kubuni jina UKAWA........ana haki.
 
Naona CUF wameanza kujitambua kupitia Lipumba.!
CDM sijui kwa nini wanakuwa wasemaji wa CUF nowadays.

Yaani ujio wa Lipumba umewapumbaza kabisa.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom