realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
Ki ukweli,hapo kashika pabayawasichokipenda kusikia CDM kimefika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ki ukweli,hapo kashika pabayawasichokipenda kusikia CDM kimefika
Ki ukweli,hapo kashika pabaya.wasichokipenda kusikia CDM kimefika
Hatari sana.Uwiiiii naiona kesho iliyopasuka
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.
Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
ndo maana magamba yanawambiaga yenyewe ni chama dume hamuyawezi.. ona sasa mnavohaha.. yameia mkono kidogo mnalia lia.. magamba noma, hamuyaweziMagamba yanakazi sana yanagawa ya ili yatawale.Prof bwana pole sana wenzio wamepigana wee ukiwa umewakimbia eti leo unarudi ili uwavuruge magamba yafaidike
Haya sasa. Professor kawakumbusha jambo muhimu kweli. Tunataka kuiona 'Demokrasia ya Kweli' tunayohubiriwa kila siku humu mtandaoni ikifanyika kwa vitendo.[
Lipumba is RIGHT. Ni HAKI kwa CUF kupata meya moja ktk Halimashauri hizo mbili. Siyo naibu tu.
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.
Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
HAPO ALIKWA ANACHUNGULIA NINI AMA ANAKWEPA NGUMI?View attachment 406971washaanza kushikana uchawi sasa,
Wallah huyu proffesor kashakuwa brainwashed, ccm wamefika bei,
Ukitaka kujua ccm wamefika bei, maandamano ya kumsindikiza lipumba policcm wameyachunia,