Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

Wakati hao madiwani wanajinadi kusaka kura yeye alikisaliti chama kwa kukubali umamluki kwa ccm.
Sasa hivi ndo anajifanya yeye ni sehemu yao?
Kafie mbali we Pumba. Sijawahi ona prof pumba kama wewe.
 
Lakini naona wale Wabunge Wa CUF kule bungeni wataachwa solemba.....wameshirikiana bungeni vizuri sana...that's what we all wanted
Mkuu kwa sasa ni lazima CUF na chadema watambuwe kwamba kirusi kimeingia hakuna namna zaidi ya kumtenga huyu jamaa.
 
Njama zake na waliomtuma tumezibaini sasa anataka kujidai yeye ndio wa kuipigania CUF.

Angefanikiwa kuhujumu UKAWA kipindi kile huo Umeya anaoungolea leo ungetoka wapi?
 
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.

Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Lipumba kwa katiba ya chama amejivua uenyekiti kwa hiyo yeye kisheria sio mwenyekiti kwahiyo kesho la kwanza akajitetee huo uanachama wake maana upo hatarini kwa uharamia wake alioufanya
 
Tatizo Prof.anatumika...aliusalit ukawa..bila yey na slaa..ukawa ukaikimbiza ficiem mbaya kabisa..akatamka live kuwa atakuwa mwanachama wa kawaida..hataki uongoz..leo ficiem waijipanga kwa anguko lao 2020...anatumika tena..hopeless prof!
 
Kwa taarifa yako huyu ndumilakuwili wenu PROPESA Lipumba.vu hana mamlaka yoyote ndani ya CUF/UKAWA. Aliujiuzulu uenyekiti na pia si mwanachama wa CUF kwani alishafukuzwa uanachama CUF. Huyu ni debe tupu na debe tupu siku zote haliachi kuvuma.

Chadema walizoea mteremko, Prof ameamua kukatisha safari yao.
 
Naona Lipumba anataka kuirudisha heshima ya CUF iliyopotea.



heshima inapatikana kipindi kipi cha uchaguzi na kuongeza idadi ya viti au baada ya uchaguzi ukianguka na kushindwa ktk chaguzi? alishindwa kuwapa heshima ya kuwanad kipind kile wachaguliwe leo wamefanikiwa ndo alete heshima huyo atakuwa mwalimu wako wa darasa


unajua kipind alijiuzulu kuna baadhi ya kura alizipunguza? hiyo heshina ipi labda?
 
Hapo ndio mjue lipumba anatumika kama madiwani chadema ndio wana wengi kama wabunge chadema ndio wana wabunge wengi sasa wapi Na wapi kuwa sawa yeye aende tena Rwanda akapumzike umeya upite arudi tena maana ni bingwa Wa kufanya tafiti kipindi cha uchaguzi
 
Back
Top Bottom