Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

Chadema nawashauri mvunje ushirikiano na CUF ya Lipumba na mueleze bayana kwamba hamumtambui. CUF inayotambulika inaongozwa na Maalim seif na Julius Mtatiro.
Hewaaa!! ndicho kinachotakiwa waingie kwenye mgogoro wasahau ukuta wao swadaktaa.HAPO SAWA.
 
Kuna vituko ambavyi hata nashindwa kuelewa wao wanaovifanya wanawezaje kuvielewa n bado waweze kuwatazama usoni watanzania.
 
Anaongea kama nani? aliyesema kamrudishia uwenyekiti leo kamkana, baada ya hizi sarakasi zake ajiandae kujibu kesi ya jinai na madai.

Anajifanya hajajua kuwa msajili yale yalikuwa mapendekezo pia ushauri na si lazima CUF waukubali, ngoja apandishwe mahakamani ndo atajua kuwa kuna profesa maji marefu pia aloishia darasa la nne pia uprofesa wa kuchumia tumbo
 
HAo madiwani wa CUF wako wangapi?Kama Ubungo wako wawili,unategemea Lipumba anauwezo wa kuwalazimisha?

Alishachelewa ndiyo aliye sasa
Haki sawa kwa wote kama CUF wanavosemaga siyo kila kitu CHADEMA hiyo siyo demokrasia ni ukoloni mamboleo ambao MBOWE amekuwa akiiendeleza kwa ubabe wake!
 
Kuna vituko ambavyi hata nashindwa kuelewa wao wanaovifanya wanawezaje kuvielewa n bado waweze kuwatazama usoni watanzania.
Mimi nakushangaa wewe, siasa zetu za wapinzani uchwara huzijui uchaguzi ukiisha tu migogoro inaanza,sisi ACT wazalendo umeshawahi kusikia mgogoro??nakuuliza? kimbilio pekee la watanzania.
 
Professor kagundua lini kuwa alikuwa anaburuzwa??

Inawezekana hata sasa huo upande anaoupgania nao wanamburuza bila kujijua!! Tutamuaminije tena!!
 
Haki sawa kwa wote kama CUF wanavosemaga siyo kila kitu CHADEMA hiyo siyo demokrasia ni ukoloni mamboleo ambao MBOWE amekuwa akiiendeleza kwa ubabe wake!

Pole Simon Mato,naona Moto wa Jacob Boniface mmeuona sasa mmetafuta wimbo wa kuimba.Nampa Pole huyo mnayemuita msomi,hafai kuitwa hata baba
 
Hakuna kama profesa lipumba Tanzania maana bila yeye ata UKAWA hiyo mnayoitamka isingekuwepo MBOWE akili zote zlikuwa Club Bilcanas ! Lipumba ni MWANAMAGEUZI anayetakiwa kuenziwa vizazi na vizazi katika suala la kupigania katiba mpya na kupambania demokrasia ya kweli!
 
Ni kweli kabisa,mwanamageuzi anayetumia mtutu wa Bunduki kulazimisha uenyekiti.Ni hulka ya vyama Tawala kutumia Polisi.Ni aibu hata wewe mwenyewe huwezi kwenda kwa mtalaka wako na Polisi kisa umeamua kufuta TALAKA.

Nimeamini MTALAKA anapendeza akiachwa.........................Maana kuondoka kwa Lipumba CUF imependeza ndiyo sabau KARUKA UKUTA na KUVUNJA milango
 
Tena usipende kuongea tuuh uwe unabakiza akiba ya maneno utaaibika siku! Unakumbuka mgogoro wa MBOWE na hayati CHACHA WANGWE uliopelekea MBOWE kujifungia na kamati yake Dodoma akaomba hadi polisi kuja kuwalinda ilimradi CHACHA WANGWE asiingie ukumbini! Huo siyo mtutu wa bunduki?
 
Kwa hali hii hata sioni haja ya kumsisitiza mwanangu asome sana. Maana hawa wasomi ndo bure kabisa. Afadhali hata wenye vielimu vyetu vya kuunga unga
 
Tena usipende kuongea tuuh uwe unabakiza akiba ya maneno utaaibika siku! Unakumbuka mgogoro wa MBOWE na hayati CHACHA WANGWE uliopelekea MBOWE kujifungia na kamati yake Dodoma akaomba hadi polisi kuja kuwalinda ilimradi CHACHA WANGWE asiingie ukumbini! Huo siyo mtutu wa bunduki?

Tatizo lako unaongea ukirukia kila kona.Tuko kwenye issue ya Lipumba kurudi CUF,Jadili hilo hayo mengine hayapo yaache au anzisha uzi tujadili
 
Hivi kwanini maprofesa wengi huwa Na mwisho mbaya?/ kuna yule Profesa wa History Gagbo aliishia kuchapwa makofi Na Wanajeshi wake. Nadhani tunaelekea huko
 
Back
Top Bottom