imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Sawasawa haki sawa kwa wote.Japo jamaa anamapungufu yake kwa hili yuko sawa kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawasawa haki sawa kwa wote.Japo jamaa anamapungufu yake kwa hili yuko sawa kabisa
DHANA TU, KARIBU ACT WAZALENDO.Huyu MZEE Lipumba ni mzima kabisa tu...ila kabisa inaonekana kuna agenda ya siri nyuma ya pazia kwenye sakata hili...yote kwa yote ni kuubomoa ukawa na upinzani kwa ujumla wasiposimama kidete....tutarudishiwa enzi za ZIDUMU FIKRA SAHIHI ZA....
Haha wanagawana hata uchaguzi haujafanyika!Kwani Magamba (Mafisiem) nafasi yao ikoje kwenye post hizo za umeya Kinondoni na Ubungo. Mbona Lipumba anataka wagawane CHADEMA na CUF pekee?
Kama ni hivyo kila chama kingekomaa kivyake kulikuwa kuna haja gani ya muungano apo mkuu
Huo umoja yeye si alishaukataa?
Kama mwenyekiti wa CUF akiwa Lipumba this time around, bora UKAWA ivunjwe tu mapema ili kila chama kijipange kivyake. Maana huyu anakoelekea atavujna umoja huo 2020 kwa maslahi ya CCM
Huo umoja yeye si alishaukataa?
Kama mwenyekiti wa CUF akiwa Lipumba this time around, bora UKAWA ivunjwe tu mapema ili kila chama kijipange kivyake. Maana huyu anakoelekea atavujna umoja huo 2020 kwa maslahi ya CCM
Chadema nawashauri mvunje ushirikiano na CUF.
Katika madiwani na wabunge wa CUF wapo katika makundi mawili 1. Wapo wanaompinga Lipumba ambao ndio wengi na wapo wanaomkubali. Chadema itangaze kuwa ipo sambamba na CUF ya maalim seif na Mtatiro. Lipumba hana wafuasi ana wahuni.Wakivunja Ushirikano CCM itachukua Mameya wote kwa kuwa kwa chama kimoja Kimoja CCM Ina madiwani wengi zaid
Upo sahihi mkuu ngoja tusubiri muda utaonge tuLazima tukubali kuwa kuna proportional arrangements
Lipumba amekuja kwa mission ya kuwagawa....hapa simple tu...CHADEMA wasimame wao kama wao na CUF wao kama wao...na CCM pia...ili watu waweze ku realize Lipumba ametumwa na nani?
halafu anataka apewe ofa hiyo na UKAWA ambayo bado Lowasa yupo na yeye hamtaki lowasa....ujinga mtupu
Huu ni wakati wa kutokucheka na mtu
Katika madiwani na wabunge wa CUF wapo katika makundi mawili 1. Wapo wanaompinga Lipumba ambao ndio wengi na wapo wanaomkubali. Chadema itangaze kuwa ipo sambamba na CUF ya maalim seif na Mtatiro. Lipumba hana wafuasi ana wahuni.
Chadema nawashauri mvunje ushirikiano na CUF ya Lipumba na mueleze bayana kwamba hamumtambui. CUF inayotambulika inaongozwa na Maalim seif na Julius Mtatiro.
Waliozoea mteremko ccm ambazo jasho la wananchi escrow ndio wamelitumia kufanyia kampeni zao.Cescroq walizoea mteremko, Prof ameamua kukatisha safari yao.
Bila ukawa wangepata wabunge wote hao bara... Le profesel unamkumbuka mtikila yangu machoSafi sana Prof Lipumba, inusuru cuf kumezwa na Mafisadi Chadema