Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
ondoa nenolako la prof usiizalilishe elimu hakuna prof pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ondoa nenolako la prof usiizalilishe elimu hakuna prof pale
Propesa ndo nini! UKAWA imejaa wahuni ambao kwao shule ni tatizo sanaa kama viongozi wao;Lazima propesa pumba aelewe kua ukawa ni sawa na nato
Yote inategemea CUF wana madiwani wangapi na CHADEMA wangapi. Mwenye madiwani wengi ndo nakuwa diwani.Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.
Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Nilikuwa nakutahadharisha tuuh juu ya hilo na kuweka mambo sawa juu ya upotoshaji uliokuwa unataka kufanya humu!
Demokrasia ya kweli ni ya wengi wape, je ikifanyika hivyo madiwani wa CUF wana kula za kutosha kugombea umeya?Haya sasa. Professor kawakumbusha jambo muhimu kweli. Tunataka kuiona 'Demokrasia ya Kweli' tunayohubiriwa kila siku humu mtandaoni ikifanyika kwa vitendo.
Mkuu huyo jamaa sio yule ni kama wa kuchongwa,sijui kimtokea kitu gani.Ha ha ha akili za mtanzania bwana!....huyo huyo uliyemkimbia na kumkana kama Fisadi ndio kakupa madiwani unaojipiga kifua kuwa mgawane umeya! Kama wewe mwanaume kweli na msomi wa PhD usiwatambue na Hao madiwani wa CUF waliopatikana kwa mgongo wa huyo uliyemkimbia! shame!
Hata UKAWA ukiwepo 2020 hautakuwa na manufaa yoyote kwa kuwa CDM haitakuwa na Mgombea Tishio tena. Wakimsimamisha Lowassa ndio watashindwa vibaya hawatakaa waamini Kabisa!Huo umoja yeye si alishaukataa?
Kama mwenyekiti wa CUF akiwa Lipumba this time around, bora UKAWA ivunjwe tu mapema ili kila chama kijipange kivyake. Maana huyu anakoelekea atavujna umoja huo 2020 kwa maslahi ya CCM
Basi fulahi make ndo huyo anayeenda kugombea tena.Hata UKAWA ukiwepo 2020 hautakuwa na manufaa yoyote kwa kuwa CDM haitakuwa na Mgombea Tishio tena. Wakimsimamisha Lowassa ndio watashindwa vibaya hawatakaa waamini Kabisa!
Huyo Li...pumba mambo ya UKAWA yanamhusu nini? si alidaka akasepa? anajua hata hao madiwani wamepatikanaje?Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.
Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Naona CUF wameanza kujitambua kupitia Lipumba.!