ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
masikini profesa huyu..lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila chama kiwe kivyake vipi wakati kura za cuf mmefaidika nazo uchahuzi uliopita. wakati wa kula ndio sasa cuf wanataka mgao sio kila kitu nyumbu mnataka kula.Huo umoja yeye si alishaukataa?
Kama mwenyekiti wa CUF akiwa Lipumba this time around, bora UKAWA ivunjwe tu mapema ili kila chama kijipange kivyake. Maana huyu anakoelekea atavujna umoja huo 2020 kwa maslahi ya CCM
yes yes yes hongera proffessor hiyo ndio cuf tunayoitakamasikini profesa huyu..lol
1:sendeka 000000Propesa ndo nini! UKAWA imejaa wahuni ambao kwao shule ni tatizo sanaa kama viongozi wao;
1. KUBENEA shule ziro
2.Sugu shule ziro
3. MBOWE shule ziro
4. Mnyika shule ziro
5. LEMA shule ziro
Kweli inahaja kuwashika kwa ulazima kuwapeleka hawa watu shule ili waache utapeli na uhuni kwenye siasa!
prof.apo Una akili ndo maana cdm hawakupendi wanajua we ni akili kubwa lazima uwashike uchawi big up piga kaziMwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.
Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Bora yeye kafika six! KUBENEA ata cheti cha form four anafoji!1:sendeka 000000
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wakoHakuna dhambi kama ya usalit hata aliyemsaliti yesu kwa vipande vya dhahabu aliviona havina thamani akaenda kujinyonga hata huyu ipo siku...Kwani Lyatonga humuoni analiwa ndani kwandani..lazima Mungu akupe kitu chakukufanya uishi kwa tabu!
HAKUNA DHAMBI MBAYA KAMA KUWA KIBARAKA HATUTAKI CUF KUFANYWA KIBARAKA WA CDMHakuna dhambi kama ya usalit hata aliyemsaliti yesu kwa vipande vya dhahabu aliviona havina thamani akaenda kujinyonga hata huyu ipo siku...Kwani Lyatonga humuoni analiwa ndani kwandani..lazima Mungu akupe kitu chakukufanya uishi kwa tabu!
CUF KUSHIRIKIANA NA WAHUNI TUTAIPINGA KWA NGUVU ZOTEMwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.
Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
CHADEMA HAWATAKI CUF IWE NA VIONGOZI WENYE UPEO WANAWATAKA WALE GAHWA AKIPEWA BK 1 AMERIDHIKAMwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.
Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Lipumba anatumikaTujue kalipwa ngapi hizo. He must be mad or something. Kwenye sehemu ambayo Cuf wameshinda ubunge kuna mtu aliyewaingilia.
Kumbe ameletwa na ccm kwa kazi hiyo 🙂
What a shame on ccm and Lipumba 🙂
Whhat cheap politics.
Pole yake alieacha usingizi wake kufanya ili uzaliwe ww.Hakuna kama profesa lipumba Tanzania maana bila yeye ata UKAWA hiyo mnayoitamka isingekuwepo MBOWE akili zote zlikuwa Club Bilcanas ! Lipumba ni MWANAMAGEUZI anayetakiwa kuenziwa vizazi na vizazi katika suala la kupigania katiba mpya na kupambania demokrasia ya kweli!
Mkuu yote uliyosema ni ya busara kabisaNdugu zangu nawashauri Madiwani wa CUF wasikubali kudanganywa na Lipumba. Aliwaaacha wakati wa shida katikati ya mchakato wa uchaguzi mkuu 2015. Kura walizopata zilitokana na jitihada za huyo aliyemkataa yaani Edward Lowassa. Kwa mantiki hiyo hapaswi kudai chochote kilichopatikana kutokana na kazi iliyofanywa na UKAWA. Alibwanga manyanga akakimbia kwenda kuungana na Interhamwe wenzake kuhujumu upinzani. Kama kweli Lipumba ana busara itokanayo na malezi ya wazazi wake ni vizuri aitumie fursa aliyo nayo kuunganisha makundi aliyoyaanzisha ndani ya CUF badala ya kukibomoa chama hicho kilichojengwa kwa jasho jingi sana.
Madiwani wa UKAWA tumieni busara zenu ili msipoteze kidogo mlicho nacho. Anachofanya Lipumba ni kuwagawa madiwani wa UKAWA ili CCM ipenye na kushindani chaguzi za halmashauri hizo. Lipumba hivi laana hii unapeleka wapi?