Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

Wana CUF wa Bara tunamuunga mkono Profesa..

Haiwezekani Halmashauri zote Chadema wawe Mameya sie tuishie kuwa Manaibu...huu ni udharirishaji. Halmashauri ya Kinondoni Meya awe CUF...
Mwenye elimu yake kaja kuwatetea sio,
Hii ni sawa na baba kamkimbia mke akiwa hoi hospitali, baada ya mkewe kufa yeye wa kwanza kuja kupanga taratibu za mazishi.
 
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.

Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
NI KWA NINI WATU WANAKATAA USAWA WANATAKA KUITUMIA CUF KAMA NGAZI NA CUF WANAKUBALI KUFANYWA MAZEZETA WA CHADEMA
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mamluki wamejaa ndani ya upinzani.na Sera yao kubwa ni kugawa watu wasije wakawa wamoja .
 
Anaongea kama nani? aliyesema kamrudishia uwenyekiti leo kamkana, baada ya hizi sarakasi zake ajiandae kujibu kesi ya jinai na madai.
Political hooliganism.it is better to be illiterate than being educated if this is how the educated think and act.
 
kupona kwa CUF ni kumtimua uanachana......hatari sana
Kambare ni samaki anayependa maji yaliyotulia, lakini yeye mwenyewe ni samaki mwenye vurugu sana hasa linapokuja suala la chakula, kiasi huwafanya samaki wengine wasiwe na amani. Naona "KAMBARE" kaingia ndani ya maji yaliyotulia, tusubiri tuone matokeo yake.
 
tunakukubali sana Kiongozi wetu uliyechaguliwa kwa njia ya kidemokrasia
 
SI zinapigwa kura, Demokrasia ipo wapi ya kuwalazimisha watu wamchague mtu fulani?
 
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.

Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Mmmhhh sijui kamainawezekana
 
Uwiiiii naiona kesho iliyopasuka

dah.... kweli inatakiwa juhudi za ziada kuiangusha ccm... kila upinzani unapopiga hatua mbele anatokea mchawi mchumia tumbo kuvuruga mambo.
Cuf walimlea sana huyu mtu hawakujua kama ilitakiwa wamfukuze na uanachama tangia siku ile ile wakt anaandika barua yake ya kujiudhuru
Walidhani wako nae kumbe wamefuga nyani ndani ya Shamba la mahindi
 
Back
Top Bottom