Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

Tetesi: Professor Lipumba: Lazima tugawane Umeya wa Kinondoni na Ubungo

Simply aseme..nataka kura zote za madiwani wa CUF ziende CCM kwenye umeya...ili alichokitaka kitimie...CCM waongoze hizi manispaa
 
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.

Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
•-->>WEWE PROFESERY ULIKUWEPO KATIKA MCHAKATO WA KUWAPATA MADIWANI WALIOPO??????...
••KWELI WEWE NI PROFERERI....!
 
Sidhani ka Le Profesor ni njinga kiasi hicho, maana anajua utaratibu wa kumpata Meya kwamba upigiwa kura na Madiwani, nachelea kukuamini mleta mada vinginevyo weka ushsahidi.
 
hawezi kufanikiwa hilo kwa sababu hao madiwani anaosema hawako upande wake maana hakushiriki kuwafanyia kampeni. labda kama kuna madiwani amekuja nao kutoka Rwanda!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huo ndo picha halisi ya profesa karudi kama mbogo na wana cuf kuweni nacho sana anataka kuiua cuf kwani lengo Lake alilolitegemea wakati wa uchaguzi halikutimia matokeo ambayo wana cuf mlitulia wakati wa uchaguzi hadi mkapata wabunge wengi tanzania bara hivyo amerudi amekarika sana kwa mafanikio hayo na msipokuwa makini chama anakuja kukiua,amekuja na hoja ya kuwalaumu chadema kwani yy ndo walimshauri aandike barua ya kunihudhuru! Alipata hela alifikiri hazitaisha mbona mwenzie Dr slaa kaamua kuishia na kuendelea na mambo yake huko Canada! Ili cuf iendelee kuwepo kwenye ulimwengu wa siasa Tanzania fanyeni uchaguzi mapema ili kukinusuru chama na bahati nzuri wana cuf nawasifu kwa misimamo wenu, kibaya zaidi kawakimbia mkiwa katika kipindi kigumu cha uchaguzi leo mnataka kujipanga anarudi kwa kasi kama nyati eliyejeruhiwa, huo ni ushauri wangu wana cuf, mm siyo mwanachama ila nimpenda changamoto za kisiasa na hasa kuwapa changamoto watawala wasijisahau!
 
Safi xana pro kwa busara zako
Kakaa miaka kumi alikuwa na madiwani, wabunge wangapi ? Sasa wako wangapi? Hizo 'busara' zilikuwa wapi sikuzote? Nasita kuanza kutilia mashaka uwezo wa kutafakari wa Professor wetu, lakini inabidi.
 
Sawa kabisa. Naunga hoja, Mheshimiwa Lipumba.

Peke yake hawezi fanikiwa, labda kama mutungi amsaidie na hili pia, na hata hivyo kwa hili ajue kabisa sifa na vigezo vitazingatiwa, kama cuf wenzie wamemnyamazia kwa cdm hatapata huo mteremko anaofikiria, ni vizuri awatahadharishe hao wanaomtuma
 
Hujaona nyomi yake leo Buguruni?
 
Wallah huyu katumwa sio bure. Si ajabu baada ya uchaguzi wa meya ukasikia kaenda Rwanda kupumzika
 
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.

Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Atamke wazi kuwa anataitafutia CCM angalau ka-Manispaa kamoja. Prof hautafanikiwa.
 
Mwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.

Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
ccm dam dam huyo ni pro katika ubora wake.demokrasia ya kugawana na siyo wingi wa kuchaguliwa.
 
Hapo safi kabisa maana huu umoja umekuwa na nguvu na kuendeshwa na chama kimoja tu
 
Back
Top Bottom