Mwenye elimu yake kaja kuwatetea sio,Wana CUF wa Bara tunamuunga mkono Profesa..
Haiwezekani Halmashauri zote Chadema wawe Mameya sie tuishie kuwa Manaibu...huu ni udharirishaji. Halmashauri ya Kinondoni Meya awe CUF...
NI KWA NINI WATU WANAKATAA USAWA WANATAKA KUITUMIA CUF KAMA NGAZI NA CUF WANAKUBALI KUFANYWA MAZEZETA WA CHADEMAMwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.
Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Political hooliganism.it is better to be illiterate than being educated if this is how the educated think and act.Anaongea kama nani? aliyesema kamrudishia uwenyekiti leo kamkana, baada ya hizi sarakasi zake ajiandae kujibu kesi ya jinai na madai.
Hii ni zaidi ya fedha.Ni ulafi wa madaraka na ubinafsi uliopitiliza.Fedha yaweza sababisha mtu akajisahau kabisa na akakosa Hekima
Kambare ni samaki anayependa maji yaliyotulia, lakini yeye mwenyewe ni samaki mwenye vurugu sana hasa linapokuja suala la chakula, kiasi huwafanya samaki wengine wasiwe na amani. Naona "KAMBARE" kaingia ndani ya maji yaliyotulia, tusubiri tuone matokeo yake.kupona kwa CUF ni kumtimua uanachana......hatari sana
Ha ha ha, Chadema wanataka kumlisha kitimoto Prof. Lipumba naye kakataa kata kata.kweli kabisa Prof usikubali CUf kutawaliwa na chadema...
Wewe na doctor mihogo wako mtaendelea kuteseka sana, duwa la kuku halimpatagi mwewe kamwe.Naona CUF wameanza kujitambua kupitia Lipumba.!
Kwi..kwii..kwii,yaani ww mawazo yako kweli ya escrow,cuf wanajielewa bro!nasi kupitia huyo mwanamaigizo wenuNaona CUF wameanza kujitambua kupitia Lipumba.!
Mmmhhh sijui kamainawezekanaMwenyekiti wa Chama cha CUF Pr. Lipumba kasema ni lazima CUF na CHADEMA wagawane umeya wa Kinondoni na Ubungo kwa kila chama kuchukua halmashauri moja moja na sio madiwani wa CUF kuwa manaibu meya.
Mwenyekiti huyo kasema kuanzia sasa usawa katika kugawana viti lazima uwepo kama kweli umoja huo ni manufaa kwa vyama vyote. Na sio kuburuzwa na chama kimoja
Uwiiiii naiona kesho iliyopasuka
Cuf walimlea sana huyu mtu hawakujua kama ilitakiwa wamfukuze na uanachama tangia siku ile ile wakt anaandika barua yake ya kujiudhurudah.... kweli inatakiwa juhudi za ziada kuiangusha ccm... kila upinzani unapopiga hatua mbele anatokea mchawi mchumia tumbo kuvuruga mambo.
Mwache ale mahindi yao sasaCuf walimlea sana huyu mtu hawakujua kama ilitakiwa wamfukuze na uanachama tangia siku ile ile wakt anaandika barua yake ya kujiudhuru
Walidhani wako nae kumbe wamefuga nyani ndani ya Shamba la mahindi
akufaae kwa dhiki ndie rafikiCDM sijui kwa nini wanakuwa wasemaji wa CUF nowadays.
Yaani ujio wa Lipumba umewapumbaza kabisa.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Gamba mkubwa wewe, tena nafikiri wewe ndo uliyeuza mtambo wa kuchapishia magazet, uhuru[emoji57] [emoji57]Safi sana Prof Lipumba, inusuru cuf kumezwa na Mafisadi Chadema