MwanaCBE JF-Expert Member Joined Sep 23, 2009 Posts 1,771 Reaction score 804 Sep 27, 2016 #281 nanyupu said: Safi xana pro kwa busara zako Click to expand... Kule kwetu busara pia humaanisha UJI. Kwa muujibu wa Bungala (mbunge wa CUF) maccm yana BUSARA kichwani badala ya akili. Namuona leprofeseri katika mkondo wa uccm huo.
nanyupu said: Safi xana pro kwa busara zako Click to expand... Kule kwetu busara pia humaanisha UJI. Kwa muujibu wa Bungala (mbunge wa CUF) maccm yana BUSARA kichwani badala ya akili. Namuona leprofeseri katika mkondo wa uccm huo.
Ngwasa Omuyaya JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 2,629 Reaction score 2,733 Sep 27, 2016 #282 Alikimbia mapambano leo kaja na yake ,anajiharibia kabisa huyu Prof.
Tetty JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 26,355 Reaction score 21,411 Sep 28, 2016 #283 brookside said: Huyu prof sio akili zake Click to expand... Na hisi amechanganyikiwa