Profile picture yako ina maana gani?

Profile picture yako ina maana gani?

Ha ha! Uje uonje kidogo tu ujue kwanini wanakuwa hivyo..[emoji3]
Ukimsikia watu waoga duniani ambao wanaogopa maneno tu ndio mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Me vitu vingine naishiaga kuzisikia tu sitaki kuwa mhanga
 
Ukimsikia watu waoga duniani ambao wanaogopa maneno tu ndio mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Me vitu vingine naishiaga kuzisikia tu sitaki kuwa mhanga
Ha ha! Unakaa uneo ambalo ni salama na watu salama ndo unatest mitambo sasa hupigi nyingi mbili tu za kustua bandama ila uvae suru usije tumwagia radhi kwa kucheza..😂
 
Humu jukwaani natumia jina la Kayaman, napenda na navuta sana bangi, ninatumia profile pic ya bob marley kutokana na wimbo wake wa Kaya huwa unanihamasisha sana kuvuta bangi, mwanzo nilitamani kutumia picha ya peter tosh kutokana na wimbo wa legalize it ila nikaona acha niende na bob!
Jah bless rasta...
 
Hiyo picha hapo inawakilisha kitu nachokipenda the most, bangi. Hako ka katuni nilikachora mwaka 2017 nilipokuwa nimesizi. Kwa hiyo nimekaweka hako kajamaa kalichosizi kwa sababu ndiyo kitu nachopendelea sana muda mwingi.

"Weed gets me going."
 
😂 Dah! Hatari hii kitu..
Uzi unavutia
Karibu
 
Inamaanisha take it like a man.
 
Back
Top Bottom