Programmer na developer wa Tz tunafeli wapi?

Programmer na developer wa Tz tunafeli wapi?

1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???

2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum??

3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia kufanya freelancing na open project za watu huko GitHub.

Nimejiuliza sana haya maswali leo asubuhi nikaona, nikaona nije hapa jamii forum ili nipewe majibu yaliyo rasmi na Tech bro wa Tz.Au kama hzo Apps zipo nipewe majina nidownload na mm.

Kuna baadhi ya course zinaitaji entrepreneur skills na kujitoa, codding is one of them! Mna knowledge but no one wants to take the risk!

Mambo Makubwa na yenye kuleta mapinduzi involves risk and commitment!
 
Dogo langu la miaka saba nalifundisha simple coding japo na mm sio mtaalamu kivile... Nilikuwa nataka kujua ni wapi nitapata shule nzuri ya coding kwa hapa bongo ili nimpeleke huko akaivishwe vya kutosha?
 
Mimi pia napenda kweli kujifunza haya maswala ya programu, na hata kuja kutengeneza app itakayofanya vizuri hapo baadaye. Inabidi uje na uzi humu walau nijifunze kitu miaka 7 sio mchezo, najua ulipitia mengi fanya hivyo bro maana wengine elimu zetu ni form 4, walau naweza nikapata kitu kikanisaidia katika safari yangu ya kuja kuwa programmer
Nilianza 2010 kujifunza lakini kipindi kile mambo hayakuwa rahisi kama sasa hivi. Sasa hivi kuna Youtube, Udemy, ChatGPT n.k. Yani haijawahi kuwa rahisi kama sasa kujikita kwenye programming. Nachokushauri ingia youtube anza kutazama video za hapa na pale pale. Lakini itapendeza zaidi kama unajua unataka kuwa programmer wa aina gani. Kama unataka kutengeneza app za simu, basi utaanza na intro za app za simu, kama websites utaanza na websites, Yani cha msingi ujue unataka kujikita na nini. AI zinarahisisha sana programming kwa sasa. Tena unaweza hata chat nazo kwa kiswahili. Anza tu, Kuanza ndio kitu kugumu kwenye haya mambo.
 
  • Thanks
Reactions: 2v1
Dogo langu la miaka saba nalifundisha simple coding japo na mm sio mtaalamu kivile... Nilikuwa nataka kujua ni wapi nitapata shule nzuri ya coding kwa hapa bongo ili nimpeleke huko akaivishwe vya kutosha?
Udemy.com inatosha kabisa.
 
Nalifanyia kazi
 
Shukrani mkuu, ndo nayotumia kwa kiasi kikubwa... Sema self teaching haiwezi kuwa sawa na ile ya kufundishwa na wenye ujuzi
Kaka sijafundishwa na mtu ana kwa ana. Lakini naamini mtu mwenye degree yake ya bongo hapa hawezi niambia kitu.

Siku ukikutana na watu waliosoma darasani na degree zao bila passion wakifanya programming ndio utajua darasa sio kila kitu. Udemy kuna vitu vingi sana ambavyo UDOM/UDSM hakuna. Katika fani ambayo ni rahisi kusoma duniani ni programming maana ndio iliyowezesha mitandao..
 
Ni kwamba hawawezi ku code ama hawana uwezo wa kudevelop idea ambayo ni productive ili waifanyie kazi?maana ninachokifahau logic ya kudevelop idea na kuprogram idea ni vitu viwili tofauti
 
Hapo me naona tatzo kuna app za aina hyo nyingi sana...kumshawishi mtu adownload yakwako ni ngum sana maana competition ni kubwa mno
Ushawashi wa kudownload app upo ktk umuhimu wa hiyo app kupitia huduma inayotoa,nikiwa na maana kwamba je app hiyo inatoa suluhisho muhimu kwa watu?
 
Dogo langu la miaka saba nalifundisha simple coding japo na mm sio mtaalamu kivile... Nilikuwa nataka kujua ni wapi nitapata shule nzuri ya coding kwa hapa bongo ili nimpeleke huko akaivishwe vya kutosha?
Kuna shule pale upanga mashariki na mbezi beach wanafundisha kipindi cha likizo sana ama kwa ratiba maalumu anamfwata home,jina nimelisahau kidogo
 
Kaka sijafundishwa na mtu ana kwa ana. Lakini naamini mtu mwenye degree yake ya bongo hapa hawezi niambia kitu.

Siku ukikutana na watu waliosoma darasani na degree zao bila passion wakifanya programming ndio utajua darasa sio kila kitu. Udemy kuna vitu vingi sana ambavyo UDOM/UDSM hakuna. Katika fani ambayo ni rahisi kusoma duniani ni programming maana ndio iliyowezesha mitandao..
Udemy kwangu inanifaa, sema nilikuwa nahitaji dogo ndo akasome apate basics kwanza... Bado sijabobea kufundisha hasa hawa watoto (he is 7 yrs old)
 
Kila kitu kimefeli mkuu. Kwani mziki wa Tanzania ni mzuri ? Diamond kazi yake kufuata upepo wanakovuma.
Sanaa ndio vile, engineeerong ndio basi. Uchumi unajikongoja. Hakuna cha mfano. Sasa unategemea IT watafanya maajabu ? Elewa mambo yanategemeana sana. Kimoja kikifeli kinasababisha mengine nayo yafeli.
 
Ni hivi watu weusi duniani wanamatumizi kidogo ya akili. Yaani tumejikalia tunasubiri mataifa mengine watufanyie. Sisi waafrika tusipobadirka tutakuja kuisha wote. Yaani tuta extinct.
Kuna viumbe vingi sana duniani vime extinct sasa kundi litakalofuatia ni sisi watu weusi na wazungu. Wazungu wata extinct kwa sababu ya kutaka kujaribu kila kitu kiwe cha kimaabara, sasa kundi lao wanalolopenda kujaribishia vitu ni watu weusi watu wengine kila kitu wanajiundia.
 
Back
Top Bottom