Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1..Hivi ni kwanini hamna mobile games kali ambalo limetengenezwa na Mtanzania zaidi ya stupid puzzle games ambayo hata hayaeleweki???
2.Kwanini hakuna app iliyotengenezwa na mtanzania ambayo hata mtu wa hapo kenya anaezakuitumia zaidi ya jamii forum??
3.Kwa nini Tanzania programmer wanaishia kufanya freelancing na open project za watu huko GitHub.
Nimejiuliza sana haya maswali leo asubuhi nikaona, nikaona nije hapa jamii forum ili nipewe majibu yaliyo rasmi na Tech bro wa Tz.Au kama hzo Apps zipo nipewe majina nidownload na mm.
App menu ziko secured..?Hapo me naona tatzo kuna app za aina hyo nyingi sana...kumshawishi mtu adownload yakwako ni ngum sana maana competition ni kubwa mno
Nilianza 2010 kujifunza lakini kipindi kile mambo hayakuwa rahisi kama sasa hivi. Sasa hivi kuna Youtube, Udemy, ChatGPT n.k. Yani haijawahi kuwa rahisi kama sasa kujikita kwenye programming. Nachokushauri ingia youtube anza kutazama video za hapa na pale pale. Lakini itapendeza zaidi kama unajua unataka kuwa programmer wa aina gani. Kama unataka kutengeneza app za simu, basi utaanza na intro za app za simu, kama websites utaanza na websites, Yani cha msingi ujue unataka kujikita na nini. AI zinarahisisha sana programming kwa sasa. Tena unaweza hata chat nazo kwa kiswahili. Anza tu, Kuanza ndio kitu kugumu kwenye haya mambo.Mimi pia napenda kweli kujifunza haya maswala ya programu, na hata kuja kutengeneza app itakayofanya vizuri hapo baadaye. Inabidi uje na uzi humu walau nijifunze kitu miaka 7 sio mchezo, najua ulipitia mengi fanya hivyo bro maana wengine elimu zetu ni form 4, walau naweza nikapata kitu kikanisaidia katika safari yangu ya kuja kuwa programmer
Udemy.com inatosha kabisa.Dogo langu la miaka saba nalifundisha simple coding japo na mm sio mtaalamu kivile... Nilikuwa nataka kujua ni wapi nitapata shule nzuri ya coding kwa hapa bongo ili nimpeleke huko akaivishwe vya kutosha?
Shukrani mkuu, ndo nayotumia kwa kiasi kikubwa... Sema self teaching haiwezi kuwa sawa na ile ya kufundishwa na wenye ujuziUdemy.com inatosha kabisa.
Nalifanyia kaziNilianza 2010 kujifunza lakini kipindi kile mambo hayakuwa rahisi kama sasa hivi. Sasa hivi kuna Youtube, Udemy, ChatGPT n.k. Yani haijawahi kuwa rahisi kama sasa kujikita kwenye programming. Nachokushauri ingia youtube anza kutazama video za hapa na pale pale. Lakini itapendeza zaidi kama unajua unataka kuwa programmer wa aina gani. Kama unataka kutengeneza app za simu, basi utaanza na intro za app za simu, kama websites utaanza na websites, Yani cha msingi ujue unataka kujikita na nini. AI zinarahisisha sana programming kwa sasa. Tena unaweza hata chat nazo kwa kiswahili. Anza tu, Kuanza ndio kitu kugumu kwenye haya mambo.
Kaka sijafundishwa na mtu ana kwa ana. Lakini naamini mtu mwenye degree yake ya bongo hapa hawezi niambia kitu.Shukrani mkuu, ndo nayotumia kwa kiasi kikubwa... Sema self teaching haiwezi kuwa sawa na ile ya kufundishwa na wenye ujuzi
Ushawashi wa kudownload app upo ktk umuhimu wa hiyo app kupitia huduma inayotoa,nikiwa na maana kwamba je app hiyo inatoa suluhisho muhimu kwa watu?Hapo me naona tatzo kuna app za aina hyo nyingi sana...kumshawishi mtu adownload yakwako ni ngum sana maana competition ni kubwa mno
Kuna shule pale upanga mashariki na mbezi beach wanafundisha kipindi cha likizo sana ama kwa ratiba maalumu anamfwata home,jina nimelisahau kidogoDogo langu la miaka saba nalifundisha simple coding japo na mm sio mtaalamu kivile... Nilikuwa nataka kujua ni wapi nitapata shule nzuri ya coding kwa hapa bongo ili nimpeleke huko akaivishwe vya kutosha?
Udemy kwangu inanifaa, sema nilikuwa nahitaji dogo ndo akasome apate basics kwanza... Bado sijabobea kufundisha hasa hawa watoto (he is 7 yrs old)Kaka sijafundishwa na mtu ana kwa ana. Lakini naamini mtu mwenye degree yake ya bongo hapa hawezi niambia kitu.
Siku ukikutana na watu waliosoma darasani na degree zao bila passion wakifanya programming ndio utajua darasa sio kila kitu. Udemy kuna vitu vingi sana ambavyo UDOM/UDSM hakuna. Katika fani ambayo ni rahisi kusoma duniani ni programming maana ndio iliyowezesha mitandao..
Shukrani mzee, ukipata jina nitonye... Ngoja na mm nikaisake kivyanguKuna shule pale upanga mashariki na mbezi beach wanafundisha kipindi cha likizo sana ama kwa ratiba maalumu anamfwata home,jina nimelisahau kidogo