Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ili uweze kutangaza unahitaji hela inayoingia au hela ya mwekezaji na mtumiaji unayempata inabidi alipe mwisho wa siku, kwa mfano hizi ads za mobile sio cheap tuseme kupata installation 1 mpya unahitaji $3, lakini watumiaji wako life time value yao ni $2 hiki ndo kiasi watakachokulipa kwa kulipia au kwa faida ya matangazo tangu wainstall hadi wafute app yako so moja kwa moja utaona kutangaza app yako ni hasara. Kwa TZ ndo disaster kabisa watumiaji hawanunui app na ads kwa bongo hazilipi hakuna advertiser anayetaka kuwalengabwatu ambao hawanunui kitu.
App kubwa zinahitaji devs wengi na sio devs tu zinahitaji wataalamu kila sekta sales, marketing, desig data etc, nendeni mkazichunguze baadhi ya hizo kampuni za app mnazotumia mtakuta zina mamia ya wafanyakazi, Uber wana Android devs tu zaidi ya 200 kila mmoja wao anabeba zaidi ya $1-200,000 kwa mwaka wengine hadi $500,000 fikiria cost za kuendesha hiyo biashara.
Ili kuingia kwenye soko lazima ugharamike na ukubali hasara, pia kuhusu soko si lazima kulenga watanzania tu, lenga Dunia, muhimu utengeneze kitu kinachohitajika kwa nyakati za sasa.
Kuhusu kuwa na wataalamu wengi, ni jambo zuri; kwa sababu usitegemee kitu kizuri ule peke yako.
Kuhusu kuwa na wataalamu wengi, ni jambo zuri; kwa sababu usitegemee kitu kizuri ule peke yako.