Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

Kuna jamaa wawili wapo mtaani wamesoma IT wamefungua vi library wanawekea watu movie kwenye flash sasa sijui hicho walichosomea
 
Java is used for high performance apps pia mtumie Java kwenye existing app ambazo zilitengenezwa na Java but otherwise Kotlin is the way to go Java is nothing to Kotlin libraries
Kuna jambo hapa kila lugha ina upande wake wa utendaji.Kuna lugha ukipeleka sehemu fulani aziwezi kuwa nzuri.

Mfano C++ ni nzuri sana kwenye hardware chip ila upande wa app sio mzuri sababu sio kazi zake sana.

Java na php mi huwa nawafananisha sana kiutendaji japo java kabezi sana software upande mkubwa ila kimatendo wanafanana.
 
Ni kweli kila mmoja yupo vizuri kwa sehemu yake
 
Mtawalaumu wabongo ma-programmer lakini ukweli Bongo kila field wahitimu wake hawakidhi viwango. Anzia kwenye u-daktari, u-injinia, u-anasheria, ualimu na kila kitu, viwango viko chini sana. Hii ni kwa sababu nchi yetu imebaki kuwa nchi ya maneno mengi. Uongozi umeshindwa kuongoza kwa standard. Elimu yetu ni kiwango cha chini, ime-base kwenye kukariri kijibu maswahili ya mtihihani na siyo kuelimika. Kla sehemu ni bora liende. Bila kukubali huu ukweli na kuanza from the scratch basi hakutakuwa na mabadiliko.
 
Hatupo serious wabongo
 
Python ni simple Yani tena kama unajua C au C++ vizuri Python kwako ni unga
Ok ila tengeneza mifumo ya kukupa pesa upande wa FOrex na volatility kwa sasa.Hizi ni project zangu ambazo kipato kinakwenda
 
N
Ni kweli mkuu bongo especially college & university education time rely kwenye theory tunatakiwa tuwe na mfumo wetu dependant kama china.
 
Hizi ni bots au
Python inauwezo mkubwa wa kuchambua mambo mengi hususani kwenye hesabu za algorithim kama utazipa nafasi jukumu la kujua sheria na kanuni ambazo utazitambulisha na kuchambua bila kukwazana kwenye mfumo.
 
Ajax ina operate na xml, json na php files
 
Python inauwezo mkubwa wa kuchambua mambo mengi hususani kwenye hesabu za algorithim kama utazipa nafasi jukumu la kujua sheria na kanuni ambazo utazitambulisha na kuchambua bila kukwazana kwenye mfumo.
Python kwenye masuala ya alogarithm ipo vizuri pia data analysis ndio maana inatumika kwenye data science
 
Aise sema nta dive into python baadae maana hii ndio language powerful hata future
Nakushauri chimbuka huko kwenye haya mambo.kwa sasa kushindana sijui unatengeneza software za biashara kwa tz ni ngumu.Tengeneza software inayo kupa kipato wewe mwenyewe .
 
Tech bongo haipewi shavu, inabidi programmers wa kibongo ku-organize for the biggest project itakayotrend worldwide, nadhani hiyo itasaidia kwa kiasi fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…