Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

Eeh python ni unyama bro, ila unapiga language kutokana na mahitaji yako. Ila unajua python ni nyepesi mno kwa upande wangu sijajuifunza python ila huwa nasema nikiamua kujifunza ni chap tu maana ana syntax nyepesi mno.
IMG_0723.jpeg
 
Kuna jamaa wawili wapo mtaani wamesoma IT wamefungua vi library wanawekea watu movie kwenye flash sasa sijui hicho walichosomea
 
Java is used for high performance apps pia mtumie Java kwenye existing app ambazo zilitengenezwa na Java but otherwise Kotlin is the way to go Java is nothing to Kotlin libraries
Kuna jambo hapa kila lugha ina upande wake wa utendaji.Kuna lugha ukipeleka sehemu fulani aziwezi kuwa nzuri.

Mfano C++ ni nzuri sana kwenye hardware chip ila upande wa app sio mzuri sababu sio kazi zake sana.

Java na php mi huwa nawafananisha sana kiutendaji japo java kabezi sana software upande mkubwa ila kimatendo wanafanana.
 
Ni kweli kila mmoja yupo vizuri kwa sehemu yake
 
Hili ni tatizo kubwa sana aise kwa wabongo wanataka kuwa solo developer wao wenyew alafu unakuta project inayotengenezwa ni kubwa mwisho wasiku project inawashinda wakati solo developer unatakiwa utengeneze kama ni mini app ni sawa ila kwa project kubwa lazima ku work as a team
Mtawalaumu wabongo ma-programmer lakini ukweli Bongo kila field wahitimu wake hawakidhi viwango. Anzia kwenye u-daktari, u-injinia, u-anasheria, ualimu na kila kitu, viwango viko chini sana. Hii ni kwa sababu nchi yetu imebaki kuwa nchi ya maneno mengi. Uongozi umeshindwa kuongoza kwa standard. Elimu yetu ni kiwango cha chini, ime-base kwenye kukariri kijibu maswahili ya mtihihani na siyo kuelimika. Kla sehemu ni bora liende. Bila kukubali huu ukweli na kuanza from the scratch basi hakutakuwa na mabadiliko.
 
Hatupo serious wabongo
 
Python ni simple Yani tena kama unajua C au C++ vizuri Python kwako ni unga
Ok ila tengeneza mifumo ya kukupa pesa upande wa FOrex na volatility kwa sasa.Hizi ni project zangu ambazo kipato kinakwenda
Screenshot 2024-11-19 185610.png
Screenshot 2024-11-19 193103.png
Screenshot 2024-12-12 173124.png
Screenshot 2024-12-13 113115.png
Screenshot 2025-03-02 134152.png
Screenshot 2025-03-02 134232.png
 
N
Mtawalaumu wabongo ma-programmer lakini ukweli Bongo kila field wahitimu wake hawakidhi viwango. Anzia kwenye u-daktari, u-injinia, u-anasheria, ualimu na kila kitu, viwango viko chini sana. Hii ni kwa sababu nchi yetu imebaki kuwa nchi ya maneno mengi. Uongozi umeshindwa kuongoza kwa standard. Elimu yetu ni kiwango cha chini, ime-base kwenye kukariri kijibu maswahili ya mtihihani na siyo kuelimika. Kla sehemu ni bora liende. Bila kukubali huu ukweli na kuanza from the scratch basi hakutakuwa na mabadiliko.
Ni kweli mkuu bongo especially college & university education time rely kwenye theory tunatakiwa tuwe na mfumo wetu dependant kama china.
 
Hizi ni bots au
Python inauwezo mkubwa wa kuchambua mambo mengi hususani kwenye hesabu za algorithim kama utazipa nafasi jukumu la kujua sheria na kanuni ambazo utazitambulisha na kuchambua bila kukwazana kwenye mfumo.
 
AJAX kwa kirefu ni Asynchronous JavaScript and XML. Yaani webpage yako inaweza kusend request alafu kabla hata haijapokea response ikawa ina uwezo wa kupokea user input na kuendelea na mishe nyingine kama kawa. Lakini unaweza kubadili content ya webpage bila kureload webpage nzima. Kuna javascript function unaiweka ndiyo inafanya hiyo kazi.

Ndiyo nafahamu DOM
Ajax ina operate na xml, json na php files
 
Python inauwezo mkubwa wa kuchambua mambo mengi hususani kwenye hesabu za algorithim kama utazipa nafasi jukumu la kujua sheria na kanuni ambazo utazitambulisha na kuchambua bila kukwazana kwenye mfumo.
Python kwenye masuala ya alogarithm ipo vizuri pia data analysis ndio maana inatumika kwenye data science
 
Aise sema nta dive into python baadae maana hii ndio language powerful hata future
Nakushauri chimbuka huko kwenye haya mambo.kwa sasa kushindana sijui unatengeneza software za biashara kwa tz ni ngumu.Tengeneza software inayo kupa kipato wewe mwenyewe .
IMG_0725.png
 
Tech bongo haipewi shavu, inabidi programmers wa kibongo ku-organize for the biggest project itakayotrend worldwide, nadhani hiyo itasaidia kwa kiasi fulani
 
Back
Top Bottom