Mtawalaumu wabongo ma-programmer lakini ukweli Bongo kila field wahitimu wake hawakidhi viwango. Anzia kwenye u-daktari, u-injinia, u-anasheria, ualimu na kila kitu, viwango viko chini sana. Hii ni kwa sababu nchi yetu imebaki kuwa nchi ya maneno mengi. Uongozi umeshindwa kuongoza kwa standard. Elimu yetu ni kiwango cha chini, ime-base kwenye kukariri kijibu maswahili ya mtihihani na siyo kuelimika. Kla sehemu ni bora liende. Bila kukubali huu ukweli na kuanza from the scratch basi hakutakuwa na mabadiliko.