Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

Kwenye Dunia ya Sasa wajanja wana invest kwenye Kotlin unadhani sababu ni nini? Kotlin is the best choice to go with pia Kotlin ni improved Java kwahiyo why working on a latest thing usiendane na kitu kipya.
We jamaa ni mbishi sana na hoja zako za kufikirika, Eti wajanja wanaachana na Java! . Kuna domains nyingi sana ambazo hutoweza kamwe kureplace Java
Chukulia mfano wa C, C++ na Rust.
Zitakuja lugha zinamfanano wa C na zinaboresha vitu flani kwenye C ila havitaweza kureplace C it always finds its place
Java ime-exist kwa more than two decades ndo ije Kotlin unayoipamba hapa saivi, halafu unataka kusema leo Kotlin itareplace Java huoni kama unachekesha?? Ungeacha kusikiliza chai za watu vijiweni mkuu
 
Hao ni hawa fake IT bongo developers wapo wachache mtu hajui hata kutengeneza API anajiita developer ukitaka kuamini nnacho sema njoo na project yako mkabithi mbongo anayejibrand huku online hovyo alafu mpe uone utaishia kulizwa tu
Kila mbongo atakwambia anajua kila kitu hata fundi ujenzi, ni muhimu kuchambua. Project nyingi za bongo hazifanikiwi kwa sababu kola developer ni one man show. Yeye ni frontend na backend developer.
Kuna madogo wanasoma chuo fulani arusha walikuja na project yao fulani, waliponitumia nikawambia hii UI hata kama functionalities za hii app zitakuwa nzuri hakuna anayeweza kutumia hii app.
Wakanuna, wakaona nina wivu. Yapata miezi sasa sijasikia imefikia wapi.
Kuna kabinti fulani kanaitwa Elsa kanaishi upanga, kamebase kwenye UI/UX pekee ni ni ka amabassador kwa softwares za adobe, kwa UI designing tu kanipa na makampuni mpaka ya nje.
Nadhani developers wa kibongo watafika mbali wakijifunza ku work as a team. Sema njaa inakuwa shida sometimes watu wanaacha wanaenda piga issue za faster kupata ela ya kula.
 
Hili ni tatizo kubwa sana aise kwa wabongo wanataka kuwa solo developer wao wenyew alafu unakuta project inayotengenezwa ni kubwa mwisho wasiku project inawashinda wakati solo developer unatakiwa utengeneze kama ni mini app ni sawa ila kwa project kubwa lazima ku work as a team
 
Ila mkuu tuachane na wabongo, ila wachina ni balaa sana aisee. Wanakimbiza vibaya mno kwenye AI models. Jana nlikuwa nacheza na model ya alibaba ya kugenerate videos huko hugging face, ile model ya chatgpt haioni ndani mkuu.
Hapa nasubiri waachie source code ya animate anyone2 nije niirun locally. Sijui wataiachia lini.
 
We jamaa ni mbishi sana na hoja zako za kufikirika, Eti wajanja wanaachana na Java! . Kuna domains nyingi sana ambazo hutoweza kamwe kureplace Java
Chukulia mfano wa C, C++ na Rust.
Zitakuja lugha zinamfanano wa C na zinaboresha vitu flani kwenye C ila havitaweza kureplace C it always finds its place
Java ime-exist kwa more than two decades ndo ije Kotlin unayoipamba hapa saivi, halafu unataka kusema leo Kotlin itareplace Java huoni kama unachekesha?? Ungeacha kusikiliza chai za watu vijiweni mkuu
Sawa bhana ila elewa Kotlin is the best choice for current world apps ukiangalia kwenye list ya future programming language Kotlin na swift zipo kwasababu hizi language zimeboreshwa kuliko objective-C na Java.
Ni kwa mtazamo wako na pengine ujafanya research ya kutosha kuhusu hii issue ila mkuu jaribu kufanya deep research utakuja kuniambia Kotlin is the best choice japo Java will still exist for some cases ila Kotlin itazidi kuwa Bora.
 
Ila mkuu tuachane na wabongo, ila wachina ni balaa sana aisee. Wanakimbiza vibaya mno kwenye AI models. Jana nlikuwa nacheza na model ya alibaba ya kugenerate videos huko hugging face, ile model ya chatgpt haioni ndani mkuu.
Hapa nasubiri waachie source code ya animate anyone2 nije niirun locally. Sijui wataiachia lini.
China wapo vizuri kwenye software sasa hivi aise wanakuja na mapinduzi ya ajabu sana kwenye tech hata wahindi japo hawaja base kwenye AI models
 
Yah wahindi wako vizuri sana kwenye software development na startups zao zinaanza taratibu na si gharama kubwa kama wamarekani.
Kila kitu cha marekani kuanzisha bei sana
 
Kuna hii website aise imenipa connection na hawa watu solvearn.net i check uoNE kama una startup yako ni rahisi kuifanikisha kwasababu unatengeneza team yako humo. Ichek alafu utupe feedback hapa
 
Sawa bhana ila elewa Kotlin is the best choice for current world apps ukiangalia kwenye list ya future programming language Kotlin na swift zipo kwasababu hizi language zimeboreshwa kuliko objective-C na Java.
Ni kwa mtazamo wako na pengine ujafanya research ya kutosha kuhusu hii issue ila mkuu jaribu kufanya deep research utakuja kuniambia Kotlin is the best choice japo Java will still exist for some cases ila Kotlin itazidi kuwa Bora.
Statement yako haiko sahihi mkuu, Kotlin bora kuliko Java? In what world
Japo kila lugha ni bora kwa nafasi yake, lakini overall Java na Kotlin, mzee hii comparison hata haistahili kjwepo. Wewe nenda kafanye karesearch kadogo tu kisha utapata majibu.
Sio kila mtu anaweza ku-trade performance over simplicity, Java imekuepo kwa zaidi ya miongo mitatu na imeshaundergo a number of optimizations kulinganisha na Kotlin ni kichekesho, bado haujaja kwenye libraries na ecosystem. Mtaalam kubali tu kwenye hii statement ulichoma
 
Mkuu jamaa yupo sahihi wabongo wengi wanajiita IT kwa kupiga window, kucheza na Microsoft suit alfu akisha piga html, css & JavaScript akajua na php ndio anajiona matawi ya juu kumbe ni ka junior developer bongo mifumo michache compared na wenzetu kwanza hata Kenya na Uganda wanatushinda sana kwenye issue ya technology tupo nyuma bongo a lot of people sio interested in technology na hiyo inatufanya tuwe nyuma kwenye tech kila kukicha.
Umedhihirisha kutokuwa na taarifa sahihi za kinachoendelea field.
Kenya na Uganda wametuzidi nini kwenye sekta ya teknolojia? Hizo nchi ulizotaja karibia kila mwaka zonakuja kujifunza kwetu hususani kwenye suala mfano la Serikali mtandao kitu ambacho mpaka leo kwenye hizo nchi ni kitu ambacho hakijafanikiwa.
Jitahidi kupata taarifa sahihi
 
Statement yako haiko sahihi mkuu, Kotlin bora kuliko Java? In what world
Japo kila lugha ni bora kwa nafasi yake, lakini overall Java na Kotlin, mzee hii comparison hata haistahili kjwepo. Wewe nenda kafanye karesearch kadogo tu kisha utapata majibu.
Sio kila mtu anaweza ku-trade performance over simplicity, Java imekuepo kwa zaidi ya miongo mitatu na imeshaundergo a number of optimizations kulinganisha na Kotlin ni kichekesho, bado haujaja kwenye libraries na ecosystem. Mtaalam kubali tu kwenye hii statement ulichoma
Mkuu wewe ndio ufanye research I'm learning Kotlin now sio kwamba sijui Java ipo lakini inaeleweka Kotlin is unbeaten in the current indrustry unadhani kwanini google waipe support, telegram is now using it na makampuni mengi makubwa?
 
View: https://youtu.be/z6q5sy4GWwc?si=YV28n_8vuRXdmrWE

View: https://youtu.be/F8_cGGOptD4?si=ICpMe2YwFeXgySdI
 
Umedhihirisha kutokuwa na taarifa sahihi za kinachoendelea field.
Kenya na Uganda wametuzidi nini kwenye sekta ya teknolojia? Hizo nchi ulizotaja karibia kila mwaka zonakuja kujifunza kwetu hususani kwenye suala mfano la Serikali mtandao kitu ambacho mpaka leo kwenye hizo nchi ni kitu ambacho hakijafanikiwa.
Jitahidi kupata taarifa sahihi
Njoo na fact na Mimi ni zishushe hapa chini tuone huu is correct
 
Umedhihirisha kutokuwa na taarifa sahihi za kinachoendelea field.
Kenya na Uganda wametuzidi nini kwenye sekta ya teknolojia? Hizo nchi ulizotaja karibia kila mwaka zonakuja kujifunza kwetu hususani kwenye suala mfano la Serikali mtandao kitu ambacho mpaka leo kwenye hizo nchi ni kitu ambacho hakijafanikiwa.
Jitahidi kupata taarifa sahihi
Kenya, Rwanda and Uganda wanatuzidi sisi tunajifunza kwao bro this doesn't make up sence wewe unakuja na data za cyber crime rate kwa Tanzania inaonekana kuwa ndogo but in the case of tech wenzetu wanatuzidi parefu
 
Habari zenu!

Kama wewe ni programmer au una ndoto za kuwa mmoja wa programmer, huu ndio uzi wako! Hapa tunasaidiana, tunashauriana, na tunahamasishana. Kama unakutana na changamoto yoyote kwenye safari yako ya kujifunza programming, usisite kuuliza.

Tupeane maarifa, tushirikishane resources, na tujenge jamii imara ya programmers!

Unajifunza programming language gani kwa sasa? Changamoto yako kubwa ni ipi?

Shida yangu kubwa ambayo nakumbana nayo ni ukosefu wa payment gateway kwa individual developers. Nina project kama tatu hivi zote zinahitaji a way to collect money locally lakini ili uweze kutumia local gayeway za Tigo, AirTel and the rest, lazima uwe na registered business.

Naweza kutumia PayPal au Stripe lakini bado nataka niwe na uwezo wa kuwafikia locals kwasababu wamezoea mifumo ya mitandao wanayotumia.

If anyone has any idea please share with us all.
 
Mkuu wewe ndio ufanye research I'm learning Kotlin now sio kwamba sijui Java ipo lakini inaeleweka Kotlin is unbeaten in the current indrustry unadhani kwanini google waipe support, telegram is now using it na makampuni mengi makubwa?
Asee ! Anyway siwezi kuingilia maamuzi yako
Mimi sio developer wa Java natumiaga Java kwenye kubuild baadhi ya vitu mostly Core Java na najuwa ni kwa vipi iko powerful na huwezi kuitoa kwenye Applications fulani

Kilichonivutia kwenye kujibu hoja yako, I am C programmer. Nakutana na assumptions kama hizo zako kutoka kwa watu wanaoanza Rust, utasikia mara ohh ni update, mara ooh memory safety, mara ooh system zinashift huko na vitu vingine kibao.
Nikishaonaga tu watu wanafanya comparisons kama hizi basi najua ni wadananda, huwezi kuona programmer mzoefu anacrush Java eti anakwambia Kotlin ni bora kuiliko, either anatafuta attention au ni Beginner
 
Back
Top Bottom