abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
We jamaa ni mbishi sana na hoja zako za kufikirika, Eti wajanja wanaachana na Java! . Kuna domains nyingi sana ambazo hutoweza kamwe kureplace JavaKwenye Dunia ya Sasa wajanja wana invest kwenye Kotlin unadhani sababu ni nini? Kotlin is the best choice to go with pia Kotlin ni improved Java kwahiyo why working on a latest thing usiendane na kitu kipya.
Chukulia mfano wa C, C++ na Rust.
Zitakuja lugha zinamfanano wa C na zinaboresha vitu flani kwenye C ila havitaweza kureplace C it always finds its place
Java ime-exist kwa more than two decades ndo ije Kotlin unayoipamba hapa saivi, halafu unataka kusema leo Kotlin itareplace Java huoni kama unachekesha?? Ungeacha kusikiliza chai za watu vijiweni mkuu