Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

Java ipo ndio kwasababu Kuna hata system ambazo tayari zilikuwa nimetengenezwa na java example Google na amazon Kuna some part of java zitakuwepo lakini in the modern world tuna lean on Kotlin. Ukiangalia the main aim of introducing Kotlin ni ku address shortcoming za java(Ndio maana tunasema Kotlin is improved Java) sasa kitu ambacho ni improved it means ni better than the existing one. Kwahiyo bro currently hata kama ni wewe kwanini umetumie BASIC kwenye game development usitumie C++ au kwenye system kubwa including apps na high performance systems kwanini umetumie C wakati C++ can perform better kwahiyo brother tuna piga Kotlin kutokana na adoption ya current world.
That will never happen, kipi unashindwa kuelewa mzee!?
C++ iliitwa hivyo hivyo kama ni improved C lakini umeona saivi almost decades ngapi zimepita ila kila moja imetafuta Uwanja wake,
g++ inaweza kucompile hata C codes lakini ukiangalia linux kernel, freertos kernel nk zote zikaandikwa kwa C any idea why??
Wacha kukaririshwa na hao Youtubers bro, Java haitokuwa replaced leo wala Kesho and that will never happen! Sio kila mtu anafata upepo
 
Java ipo ndio kwasababu Kuna hata system ambazo tayari zilikuwa nimetengenezwa na java example Google na amazon Kuna some part of java zitakuwepo lakini in the modern world tuna lean on Kotlin. Ukiangalia the main aim of introducing Kotlin ni ku address shortcoming za java(Ndio maana tunasema Kotlin is improved Java) sasa kitu ambacho ni improved it means ni better than the existing one. Kwahiyo bro currently hata kama ni wewe kwanini umetumie BASIC kwenye game development usitumie C++ au kwenye system kubwa including apps na high performance systems kwanini umetumie C wakati C++ can perform better kwahiyo brother tuna piga Kotlin kutokana na adoption ya current world.
Hizi statements zako ndo zinafanya nikuone Junior,
Nakupa tena mfano wa C, ukikutana na firmware programmers, kernel programmers na low level programmers wengine utakuta wako reluctant kutumia C++ kwanini?? The so called C++ imeintroduce some features ambazo haziko kwenye C sawa lakini bado most of those features hata hatuzihitaji kwenye low level development!
Youtubers watakwambia Oh C++ imesolve matatizo ya C ila in reality sisi tunaofanya hatuoni tatizo la kwenye C lililosolviwa na C++ instead imeintroduce tu matatizo mengine, nevertheless the language has find itself an ecosystem ambayo hatungefikiria kutumia C directly ila tunahitaji zile features za C. Tue same kitatokea kwa Java na Kotlin
Kotlin itajitafutia a place ambayo tungehitaji some Java like Vibes lakini direct implementation kwa Java itakuwa ngumu lakini Java itabaki pia kwenye ecosystem nyingine ambayo haitokuja kuwa replaced kamwe na hiyo Kotlin
Platforms kama JSSE, Java EE etc hizo ni miongoni mwa sehemu ambapo java imeshadorminate. The only you can do labda ucall Java codes from Kotlin sasa unahisi performance itafanana hapo ama unaongeaga tu ubishane???
 
Hizi statements zako ndo zinafanya nikuone Junior,
Nakuoa tena mfano wa C, ukikutana na firmware programmers, kernel programmers na low level programmers wenginebutakuta wako reluctant kutumia C++ kwanini?? The so called C++ imeintroduce some features ambazo haziko kwenye C sawa lakini bado most of those features hata hatuzihitaji kwenye low level development!
Youtubers watakwambia Oh C++ imesolve matatizo ya C ila in reality sisi tunaofanya hatuoni tatizo la kwenye C lililosolviwa na C++ instead imeintroduve tu matatizo mengine, nevertheless the language has find itself an ecosystem ambayo hatungefikiria kutumia C directly ila tunahitaji zile features za C. Tue same kitatokea kwa Java na Kotlin

I don't have time to criticize anyone and I really respect everyone because I don't know whom I'm interacting with in real life.
But niki refer C++ ni improved C that is why C na C++ ni similar in syntax na pia ufanyaji kazi ni ule the only difference comes C ni procedural programming language while C++ ni object oriented programming ila C++ ni hiyohiyo C mbali na hapo C++ ni also used in most embedded systems kama tunavyo mtumia C Sasa unavyosema huoni kitu kwenye C++ nakushangaa sana kwasababu C++ kuwa object oriented programming tayari ni kitu Cha zaidi pia ability ya kuwa na high performance tayari imeweka utofauti na kitu Cha ziada ambacho C alikuwa Hana.
 
Hizi statements zako ndo zinafanya nikuone Junior,
Nakuoa tena mfano wa C, ukikutana na firmware programmers, kernel programmers na low level programmers wenginebutakuta wako reluctant kutumia C++ kwanini?? The so called C++ imeintroduce some features ambazo haziko kwenye C sawa lakini bado most of those features hata hatuzihitaji kwenye low level development!
Youtubers watakwambia Oh C++ imesolve matatizo ya C ila in reality sisi tunaofanya hatuoni tatizo la kwenye C lililosolviwa na C++ instead imeintroduve tu matatizo mengine, nevertheless the language has find itself an ecosystem ambayo hatungefikiria kutumia C directly ila tunahitaji zile features za C. Tue same kitatokea kwa Java na Kotlin
Kotlin itajitafutia a place ambayo tungehitaji some Java like Vibes lakini direct implementation kwa Java itakuwa ngumu lakini Java itabaki pia kwenye ecosystem nyingine ambayo haitokuja kuwa replaced kamwe na hiyo Kotlin
Platforms kama JSSE, Java EE etc hizo ni miongoni mwa sehemu ambapo java imeshadorminate. The only you can do labda ucall Java codes from Kotlin sasa unahisi performance itafanana hapo ama unaongeaga tu ubishane???
Ni kweli mkuu sikatai kwamba C++ inajumuisha features nyingi ambazo hazihitajiki kwenye low-level programming kama kernel au firmware development, ambapo C bado inabaki kuwa bora kutokana na low management of resources . C++ inaweza kuongeza ugumu na overhead, na sio kila feature inayotoa inahitajika kwenye mazingira ya low-level pia C programming ni low level while C++ ni mid level kwahiyo kutokana na fastness ya C inakuwa preferable kwa low level similar to rust.
Kuhusu Java na Kotlin, kama ulivyosema, Kotlin inatoa features ambazo ni modern lakini Java itabaki kuwa muhimu katika ecosystem fulani kama JSSE na Java EE, na kwa hiyo haiwezi kutenguliwa kirahisi. Kotlin inaweza kuboresha Java kwa baadhi ya maeneo pia kwa asilimia kubwa lakini Java itaendelea kutumika kwenye maeneo ambayo inahitaji lakini kwa upande wa android Kotlin ataendelea kusimama.
 
Sio sahihi mtaalam, mwaka jana mfumo wa NEST umekuwa mfumo bora Africa, mkuu kuna watu wana coding balaa. Mifumo bora kabisa Africa ni 1. NEST 2. ERMS 3. MAJI IS, asilimia kubwa mifumo hii imekuwa developed na eGA
NEST mfumo Bora usiyotengamaa (bado haujatilia- unazingua ktk matumizi).
 
Yeah ni kweli ila unajua Kotlin ni improved Java alafu huko tunapoelekea Kotlin will replace Java sema sio mbaya mkuu keep doing up.
Java hawezi kureplaciwa na upuuzi wowote mkuu sema labda kwenye upande wa android development and hadi sasa kotline inatake over kwa Kasi sana upande huo, kwasababu imekaa kisasa zaidi kuliko plain Java.
 
The sooner you realize that a programming language or a framework, is just a tool for a specific job, The faster you will stop comparing one from another or jumping into an un-ending learning loop.

The sooner you realize to excell in tech we should unite and focus on building tech hubs and events, the faster we will grow in the vast world of SoftwareEngineering.

Ila tuko hapa tunabishana ujinga. Kila mtu anajaribu kuonesha kua ana pumbu kubwa kuliko mwenzako.

Heart Broken.
 
We jamaa ni mbishi sana na hoja zako za kufikirika, Eti wajanja wanaachana na Java! . Kuna domains nyingi sana ambazo hutoweza kamwe kureplace Java
Chukulia mfano wa C, C++ na Rust.
Zitakuja lugha zinamfanano wa C na zinaboresha vitu flani kwenye C ila havitaweza kureplace C it always finds its place
Java ime-exist kwa more than two decades ndo ije Kotlin unayoipamba hapa saivi, halafu unataka kusema leo Kotlin itareplace Java huoni kama unachekesha?? Ungeacha kusikiliza chai za watu vijiweni mkuu
Hiyo kotlin yenyewe imejipambanua kupitia mgongo wa java na umekubali kuwork perpendicular na java ili isipotee, sema watu huipenda sana kotline kwasababu ni rahisi kuliko java na iko na features za kisasa kwenye upande wa android development ila sio kwenye maeneo mengine tofauti na hilo.
 
Java hawezi kureplaciwa na upuuzi wowote mkuu sema labda kwenye upande wa android development and hadi sasa kotline inatake over kwa Kasi sana upande huo, kwasababu imekaa kisasa zaidi kuliko plain Java.
Yeah kwa android development Kotlin itampiga Java parefu sana
 
The sooner you realize that a programming language or a framework, is just a tool for a specific job, The faster you will stop comparing one from another or jumping into an un-ending learning loop.

The sooner you realize to excell in tech we should unite and focus on building tech hubs and events, the faster we will grow in the vast world of SoftwareEngineering.

Ila tuko hapa tunabishana ujinga. Kila mtu anajaribu kuonesha kua ana pumbu kubwa kuliko mwenzako.

Heart Broken.
Kubishana ndio njia Bora ya kujifunza kwenye mijadala ya namna hii, kuna mtu hawezi kufunguka hadi aone umemuweka kwenye eneo ambalo hayupo comfortable so ili awe comfortable anaachia vitu juu ya vitu then watu tunachukua pen na karatasi tunaanza kunote🤣🤣🤣
 
Yeah kwa android development Kotlin itampiga Java parefu sana
Inajipambanua ila bado bado inahitaji kujiboresha zaidi, ingawa huko tunakoelekea the first choice ya android development itaangukia kwa kotline kama itaendelea kuongeza usasa zaidi.
 
Someni sana Python ndio lugha ambayo ni Ai upande mkubwa.
Mfano natengeneza MT5 na kumix na python.
 
The sooner you realize that a programming language or a framework, is just a tool for a specific job, The faster you will stop comparing one from another or jumping into an un-ending learning loop.

The sooner you realize to excell in tech we should unite and focus on building tech hubs and events, the faster we will grow in the vast world of SoftwareEngineering.

Ila tuko hapa tunabishana ujinga. Kila mtu anajaribu kuonesha kua ana pumbu kubwa kuliko mwenzako.

Heart Broken.
😂Ni kweli kabisa mkuu, programming languages ni kama toolbox yenye tools tofauti, ambapo kila tool ni programming language. Unachagua tool inayokufaa kulingana na problem unayotaka kutatua.
Kama fundi anavyochagua kifaa kulingana na kazi, ndivyo programmer anavyopaswa kuchagua lugha kulingana na mahitaji ya project yake. Hivyo, kila language ina nguvu zake, na kujua ni wakati gani kuitumie ni muhimu sana.
 
Inajipambanua ila bado bado inahitaji kujiboresha zaidi, ingawa huko tunakoelekea the first choice ya android development itaangukia kwa kotline kama itaendelea kuongeza usasa zaidi.
Ni kweli bro ila huwa Kotlin huko mbeleni ikiendelea vizuri aise itafunika parefu sana maan aim ya kuileta ni kupunguza shortcomings za java.
 
Someni sana Python ndio lugha ambayo ni Ai upande mkubwa.
Mfano natengeneza MT5 na kumix na python.
Eeh python ni unyama bro, ila unapiga language kutokana na mahitaji yako. Ila unajua python ni nyepesi mno kwa upande wangu sijajuifunza python ila huwa nasema nikiamua kujifunza ni chap tu maana ana syntax nyepesi mno.
 
Ni nyepesi kwa kuangalia mwanzoni ukienda nayo utazidi kusema ni ngumu.
Maana inavoanza unaweza kusema na mudu subiri unavozidi kuingia deep.
 
Ni kweli bro ila huwa Kotlin huko mbeleni ikiendelea vizuri aise itafunika parefu sana maan aim ya kuileta ni kupunguza shortcomings za java.
Java unajua ni language ambayo imepata sana umaarufu ndio maana language kadhaa zilikuja kwa kutembelea mgongo wake ikiwepo JavaScript ambayo awali ilikua inaitwa livescript ila kwakua java ilikua ya moto sana kipindi hiko wakaona watembelee humo humo, na kotlin the same(ingawa kotline Mimi naonaga kama ni sehemu ya java tu)

All in all language yoyote inaweza kuwork kwenye any domain ingawa Kila language huwa iko na domain mama ambayo ndio iliipa umaarufu, kwamfano python ilikuwepo kabla hata ya Java nadhani ila ilikuja kupata umaarufu hivi karibuni baada ya haya mambo ya machine learning na artificial intelligence.

The same to java kwenye Microservices, big data, internet of things, cloud computing, game development, financial and trading application na kwenye mifumo yote ambayo inahitaji ulinzi wa kina java tayari ilishajichukulia hizo domain na kuziown kwa muda mrefu sana.

Au JavaScript na php katika web development technology, au C/C++ kwenye embedded systems au C# kwenye game development na kadhalika.

Kwahiyo unaona hapo ya kwamba Kila domain inapokujia kichwani lazima kuna lugha itakujia kichwani hasa kama client wako hana machaguo juu ya hilo.
 
Hao ni hawa fake IT bongo developers wapo wachache mtu hajui hata kutengeneza API anajiita developer ukitaka kuamini nnacho sema njoo na project yako mkabithi mbongo anayejibrand huku online hovyo alafu mpe uone utaishia kulizwa tu
Mkuu naomba kuuliza.

ulikuwa na lengo gani kuanzisha uzi huu?
 
Back
Top Bottom