Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
- #101
Java ipo ndio kwasababu Kuna hata system ambazo tayari zilikuwa nimetengenezwa na java example Google na amazon Kuna some part of java zitakuwepo lakini in the modern world tuna lean on Kotlin. Ukiangalia the main aim of introducing Kotlin ni ku address shortcoming za java(Ndio maana tunasema Kotlin is improved Java) sasa kitu ambacho ni improved it means ni better than the existing one. Kwahiyo bro currently hata kama ni wewe kwanini umetumie BASIC kwenye game development usitumie C++ au kwenye system kubwa including apps na high performance systems kwanini umetumie C wakati C++ can perform better kwahiyo brother tuna piga Kotlin kutokana na adoption ya current world.
That will never happen, kipi unashindwa kuelewa mzee!?
C++ iliitwa hivyo hivyo kama ni improved C lakini umeona saivi almost decades ngapi zimepita ila kila moja imetafuta Uwanja wake,
g++ inaweza kucompile hata C codes lakini ukiangalia linux kernel, freertos kernel nk zote zikaandikwa kwa C any idea why??
Wacha kukaririshwa na hao Youtubers bro, Java haitokuwa replaced leo wala Kesho and that will never happen! Sio kila mtu anafata upepo