Programmers tujadili hapa

Programmers tujadili hapa

Ushawahi kujifunza programming peke yako, je nini kilikukwamisha au kukushinda? TUJADILI hapa
nimekuja kuona thread very late....ila nimejichallenge kujifunza programming mwenyewe...natamani watu nikutane na wenye malengo kama yangu begginers wenzangu
 
C++ ,and C ,Java programing which is the best programing language.

Mana Kuna idea moja nimeipata Nataka nitengeneze program ambayo itakuwa useful kwa baadhi ya kampuni hapa tz, lakini swala ni kwamba Java Nina idea ndogo sana, lakini C, C+, C++ sina idea nazo.
Naweza kujifunza programing language kwa siku ngapi na nikawa deep kuandika program.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni android komaa na java mzee au ma higher level programming languages
 
Sijawahi maana wazungu wametupiga gap kubwa sana kwenye haya mavitu kiasi kwamba wewe unajifunza java script wao wako kwenye machine learning na Artificial Intelligence
Duh!! Umesema hivi kwa misingi gan..unajifunza JavaScript yeye yupo AI!!!??
 
C++ ,and C ,Java programing which is the best programing language.

Mana Kuna idea moja nimeipata Nataka nitengeneze program ambayo itakuwa useful kwa baadhi ya kampuni hapa tz, lakini swala ni kwamba Java Nina idea ndogo sana, lakini C, C+, C++ sina idea nazo.
Naweza kujifunza programing language kwa siku ngapi na nikawa deep kuandika program.

Sent using Jamii Forums mobile app
It is not the idea of how many days, it is matter of how you practice, and remember you can't cover everything about java, there are so many framework and libraries. So depending on what you are going to build, go clearly and purposely other factor relays on your mental ability
 
Kwa kutumia vitabu inakuwa poa au.

man
 
Watu wanaojifunza wenyewe wengi wanapoteza mda kusoma vitu amabvyo hata wawajui wanavitumia wapi, Mtu anataka kujua PL zote kwa wakati mmjoja najifunza C kidogo, c# kidogo mwisho mwaka umeisha hajui kutengeneza hata simple siftware kwa language yoyote ile anajua tu printf. kama mtu unaanza kujifunza programming bora uanze na multipurpose Language Eg: Python, kwenye python hapa utaweza ku code karibia kila kitu (web, app etc)
unaweza kuanza ivi
1. Web Development - hapa unakomaa na web development unahakikisha unaweza kudevelop webside from scratch kuanzia kuinstall django au flask mpaka ku host (inaweza kuchukua 2-4 Months)
2. App Development - baada ya kumaliza web unaanzana na Application
3. Data science
4. ML
5.Harking etc
 
. Unafikir hiyo 1 na 2 inahitaji Python pekee
 
Kwawanaoanza kijifuza itawasaisia kuliko ajifunze ruby,java,.net au php kwenywe web na java au swift kwenye app anaweza kutunia python kufanyavote viwili
Hapo mkuu mimi naona hatua ya kwanza ni mtu kuchagua uwanja au field yake ya kazi;
Web development; HTML,JavaScript, CSS,php n.k
App development (Android);Java,JavaScript n.k
App development (IOS); Swift n.k
Data scientists; Python(must), SQL n.k
Hivyo mimi naona ni mtu achague uwanja wake then acheki language zinazoendana na alipochagua then akomalie hizo.
 
Wrong advice

Back
Top Bottom