IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Anayeweza kunisaidia Object Oriented Programming anielekeze najifunza python na nime stuck kwenye classes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema mahali gani specifically uliko kwama usaidiwe.Anayeweza kunisaidia Object Oriented Programming anielekeze najifunza python na nime stuck kwenye classes
Data science ni Python na RDah blessed sana na huu uzi. Mimi nna passion sana na mambo ya computers, web development, data science. But bahati mbaya sikuweza kusomea mambo ya computer (IT). Currently nilikua nataka nipige language moja ya programming
Ila kabla ya hivo naomba mnishauri ni language ipi inafaa kwa data science ambayo atleast naeeza kucope nayo. Ujuzi wa computer niko nao, niko vizuri.
Naomba mnisaidie wakubwa. Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani bro, vp kuhusu C++ kuna mtu alinigusia akasema kwa kuanza ingekua poa zaidiiData science ni Python na R
Wewe unataka usomee nini? Web development au Data science? You can't have expert on bothShukrani bro, vp kuhusu C++ kuna mtu alinigusia akasema kwa kuanza ingekua poa zaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
Data science nduguWewe unataka usomee nini? Web development au Data science? You can't have expert on both
Ndo hizo nilizokwambia sasa...Huyo uliyemwambia Data Science akakuambia anza na C++ naye yupo kwenye IT?
Yah anapiga IT ila nafikiri hatukuelewana kidogo. Nahis ushauri wako umetulia zaidi. Nimuulizia apa pia akasema nichakatane na python. Asante bossNdo hizo nilizokwambia sasa...Huyo uliyemwambia Data Science akakuambia anza na C++ naye yupo kwenye IT?