Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 806
- 1,537
Ni kweli, lakini haituzuii na sisi kujifunza na kuiutilize technology kwa kukabiliana na local environment
Yes, napatikana Sinza MakaburiniWw una ofisi? Na je unapatikana wap?.
nimekuja kuona thread very late....ila nimejichallenge kujifunza programming mwenyewe...natamani watu nikutane na wenye malengo kama yangu begginers wenzanguUshawahi kujifunza programming peke yako, je nini kilikukwamisha au kukushinda? TUJADILI hapa
Kama ni android komaa na java mzee au ma higher level programming languagesC++ ,and C ,Java programing which is the best programing language.
Mana Kuna idea moja nimeipata Nataka nitengeneze program ambayo itakuwa useful kwa baadhi ya kampuni hapa tz, lakini swala ni kwamba Java Nina idea ndogo sana, lakini C, C+, C++ sina idea nazo.
Naweza kujifunza programing language kwa siku ngapi na nikawa deep kuandika program.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!! Umesema hivi kwa misingi gan..unajifunza JavaScript yeye yupo AI!!!??Sijawahi maana wazungu wametupiga gap kubwa sana kwenye haya mavitu kiasi kwamba wewe unajifunza java script wao wako kwenye machine learning na Artificial Intelligence
It is not the idea of how many days, it is matter of how you practice, and remember you can't cover everything about java, there are so many framework and libraries. So depending on what you are going to build, go clearly and purposely other factor relays on your mental abilityC++ ,and C ,Java programing which is the best programing language.
Mana Kuna idea moja nimeipata Nataka nitengeneze program ambayo itakuwa useful kwa baadhi ya kampuni hapa tz, lakini swala ni kwamba Java Nina idea ndogo sana, lakini C, C+, C++ sina idea nazo.
Naweza kujifunza programing language kwa siku ngapi na nikawa deep kuandika program.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio Android , kwenye pc hapa windowsKama ni android komaa na java mzee au ma higher level programming languages
It is not the idea of how many days, it is matter of how you practice, and remember you can't cover everything about java, there are so many framework and libraries. So depending on what you are going to build, go clearly and purposely other factor relays on your mental ability
manC++ ,and C ,Java programing which is the best programing language.
Mana Kuna idea moja nimeipata Nataka nitengeneze program ambayo itakuwa useful kwa baadhi ya kampuni hapa tz, lakini swala ni kwamba Java Nina idea ndogo sana, lakini C, C+, C++ sina idea nazo.
Naweza kujifunza programing language kwa siku ngapi na nikawa deep kuandika program.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vitabu, utube video, app zote sawa. Keep on
jamaa kama unataka kusoma programming mwenyewe wacheki pirpleVitabu, utube video, app zote sawa. Keep on
Kama ni app inayo run kwenye pc achana na java komaa na C/C++ alafu uje usome QT au javascript alafu uje usome express... Ila kama ni android app java is good japo unaweza soma JS+ React native au Dart + Flutter.
. Unafikir hiyo 1 na 2 inahitaji Python pekeeWatu wanaojifunza wenyewe wengi wanapoteza mda kusoma vitu amabvyo hata wawajui wanavitumia wapi, Mtu anataka kujua PL zote kwa wakati mmjoja najifunza C kidogo, c# kidogo mwisho mwaka umeisha hajui kutengeneza hata simple siftware kwa language yoyote ile anajua tu printf. kama mtu unaanza kujifunza programming bora uanze na multipurpose Language Eg: Python, kwenye python hapa utaweza ku code karibia kila kitu (web, app etc)
unaweza kuanza ivi
1. Web Development - hapa unakomaa na web development unahakikisha unaweza kudevelop webside from scratch kuanzia kuinstall django au flask mpaka ku host (inaweza kuchukua 2-4 Months)
2. App Development - baada ya kumaliza web unaanzana na Application
3. Data science
4. ML
5.Harking etc
Kwawanaoanza kijifuza itawasaisia kuliko ajifunze ruby,java,.net au php kwenywe web na java au swift kwenye app anaweza kutunia python kufanyavote viwili. Unafikir hiyo 1 na 2 inahitaji Python pekee
Hapo mkuu mimi naona hatua ya kwanza ni mtu kuchagua uwanja au field yake ya kazi;Kwawanaoanza kijifuza itawasaisia kuliko ajifunze ruby,java,.net au php kwenywe web na java au swift kwenye app anaweza kutunia python kufanyavote viwili
Watu wanaojifunza wenyewe wengi wanapoteza mda kusoma vitu amabvyo hata wawajui wanavitumia wapi, Mtu anataka kujua PL zote kwa wakati mmjoja najifunza C kidogo, c# kidogo mwisho mwaka umeisha hajui kutengeneza hata simple siftware kwa language yoyote ile anajua tu printf. kama mtu unaanza kujifunza programming bora uanze na multipurpose Language Eg: Python, kwenye python hapa utaweza ku code karibia kila kitu (web, app etc)