Programmers wa Blockchain na DeFi msaada tafadhali

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha.

Naomba programmers/developers wa Blockchain na decentralized finance (DeFi) wanisaidie katika hili. Huenda likawa pia na manufaa kwao. Ila kabla sijaendelea niweke wazi kwamba Mimi si programmer japo nilianza kujifunza Python lakini muda unanibana sijafika mbali. Ila kama enthusiast wa Blockchain na crypto nipo tangu 2013.
Now the issue:

Najua kwa programmers wengi wa Blockchain watakuwa na uelewa mzuri wa hili wimbi la DeFi. Kwa miaka takriban miwili Sasa imekuwa ni hot cake. Kwenye DeFi Kuna kipengelele cha Flash Loans. Hizi ni non collateralized loans.

Unakopa kiasi chochote bila dhamana na kukifanyia unachotaka na kukirudisha papo hapo. Process nzima inakuwa kwenye transaction moja. Kukopa, kutengeneza faida kutumia mkopo na kurudisha mkopo na riba vyote ndani ya transaction moja na ndani ya dakika chache kama siyo dakika moja. Muamala wote unasimamiwa na smart contract.

Nimejaribu flash loans ila kwa sababu karibu zote zipo kwenye blockchain ya Ethereum gass fees ziko juu mno na kama arbitrage umeichelewa basi ni hasara.

Ila Sasa kwa sababu Kuna protocols nyingine zinazoendesha flash loans kwenye blockchains kama Polygon, Digibyte,Cardano na zingine ambazo gass fees ziko chini. Naomba kama Kuna wajuzi wa kutengeneza smart contracts za flash loans pamoja na arbitrage bots tusaidiane hapa.

Shukrani za dhati
 
Kuna mfano wa kitu ninachooongelea nimeona hapo: www.flashloans.ai. Sikuijaribu maana nayo unafanya na Ethereum tu ila mnaweza kuangalia kupata idea ya kile ninachotafuta. Inatumia Artificial Intelligence kutengeneza flash loan smart contract
 
Na ina bot inayoangalia arbitrage baina ya masoko
 
Habari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha...
Nipo Ila sijaelewa unachotaka I.e Unataka ushauri ama hii tender job
 
Nataka collaboration.
Sawa collaboration lkn andaa pocket yako.

Umesema ww sio programmer ila una idea, na huwa ni rahisi kufanya kazi na mtu anaelewa anataka nn. Kama uko tyr njoo inbox tudiscuss bei nikufanyie/tufanye hio project.

Shida ya projects nyingi za blockchain hapa TZ wanaozimiliki hawana uelewa na wanafanya ili mrad kwenda na trend na mwisho wa siku zinakufa.

Nmefanya projects 3 za DeFi ila wamiliki wake hawakuwa serious na hamna yyt inayorun hadi sasa, watu wanadhan tech ni kama fashion so wanafanya kwa mihemko ili kwenda na trend kumbe sio inavyopaswa. Kama uko tofauti na hao nloelezea hapo juu njoo inbox tupeane quotes
 
Nakuja mkuu
 
Nashukuru mkuu. Uko tayari angalau kunipa trial version halafu tuongee biashara?
 
Kama nlivyosema mwanzo kazi nlizofanya zilikua ideas za watu, japo sijaziona kwenye market kwa mda sasa lkn sio vema kudisclose hapa.

Kama umejiandaa sawa sawa mie sikupi sample ya kazi ya mtu mwingine ntakupa sample ya kazi yako ww mwenyewe kabla haujalipa chochote. Then baada ya hapo kama utakubaliana na hio sample basi tutaendelea kufanya kazi ikamilike.

Unaweza kunitumia documentation ya Idea yako nkakuandalia prototype kwanza coz kwa ulichooandika hapo mwanzo ni kwa kifupi sana na bado kinazua maswali.
 
Habari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha.

Naomba programmers/developers wa Blockchain na decentralized finance (DeFi) wanisaidie katika hili. Huenda likawa pia na manufaa kwao. Ila kabla sijaendelea niweke wazi kwamba Mimi si programmer japo nilianza kujifunza Python lakini muda unanibana sijafika mbali. Ila kama enthusiast wa Blockchain na crypto nipo tangu 2013.
Now the issue:

Najua kwa programmers wengi wa Blockchain watakuwa na uelewa mzuri wa hili wimbi la DeFi. Kwa miaka takriban miwili Sasa imekuwa ni hot cake. Kwenye DeFi Kuna kipengelele cha Flash Loans. Hizi ni non collateralized loans.

Unakopa kiasi chochote bila dhamana na kukifanyia unachotaka na kukirudisha papo hapo. Process nzima inakuwa kwenye transaction moja. Kukopa, kutengeneza faida kutumia mkopo na kurudisha mkopo na riba vyote ndani ya transaction moja na ndani ya dakika chache kama siyo dakika moja. Muamala wote unasimamiwa na smart contract.

Nimejaribu flash loans ila kwa sababu karibu zote zipo kwenye blockchain ya Ethereum gass fees ziko juu mno na kama arbitrage umeichelewa basi ni hasara.

Ila Sasa kwa sababu Kuna protocols nyingine zinazoendesha flash loans kwenye blockchains kama Polygon, Digibyte,Cardano na zingine ambazo gass fees ziko chini. Naomba kama Kuna wajuzi wa kutengeneza smart contracts za flash loans pamoja na arbitrage bots tusaidiane hapa.

Shukrani za dhati
Tatizo la wabongo ni kuwa na idea ambazo baadae hawajui wanafanyia nini na wataanzia wapi, alafu kibaya zaidi ukikutana na mwenye idea ambaye hata kuandika hakuandika.

Yaani ni maneno tu ni kazi nzito unaweza fanya kazi na mtu ya miezi 3 mpaka sita ikaenda mwaka mzima sababu hata kuandika anachohitaji ilikuwa taabu.

Ebu fikiria unacode kwa dialog hivi utamaliza kweli kazi.

NB. Kama na wewe ni wa hivyo basi ni taabu kweli maybe umeandika au ndo mambo ya kichatishana whatsapp kila saa.
 
Kama umeshindwa tuu python sidhani kwa kweli
Kwa nilichokigundua ni hiyo non collateralized loan ndio imekutamanisha
I suggest Dev atakayefanya kazi na wewe achukue 90% [emoji28][emoji28]
 
Upo kwenye industry kabla hata ya release ya ethereum halafu leo unakimbia gas fees woow!!

Vitalik anaandika whitepaper wewe tayari uko kwenye game
Charles hoskinson anaamua kubwaga na kuanzisha cardano upo kwenye game
Doge inaanzishwa uko kwenye game
Nfts web3 tayari ushakua pro
Halafu leo unaogopa gas fees be serious bro

Ungejitahidi kuwa mkweli ungesaidika
2013 btc ili range btn 20$ to 1000$

Wakuu huyu jamaa hayuko serious atawapotezea mda
 
Nili note hilo ila nlipoona neno 'Enthuasist' nkajua inawezekana alikua ni wale wasomaji tu ila sio investor.

2014 kwa mtanzania hata kununua tu BTC ilikua ngumu balaa, ungeishia kutengeneza account kwenye wallet ambapo walikua wanakupa vi BTC fln vya kuanzia ila ni kwenye decimal precision japo ungevitunza hadi leo vingekua na thaman kiasi. Now imekua rahisi kununua kwa sababu watu wengi sana washaingia.

Enzi hizo labda ubahatishe mkenya anataka kuuza btc zake ndo mfanye exchange lkn hio njia ilikua na udanganyifu mwingi na watu walipigwa balaa. Wengi wakaishia kujua BTC ni scam kwa sababu hio.

Simtetei coz naona rukaruka nyingi kwake ila inawezekana akawa sahihi kwa alichosema khs kujua btc 2014
 
Jumuisho langu kwa wote mlionijibu humu japo wengine kwa lugha ya kejeli; siwezi kurudisha majibu ya kejeli wala kutumia muda kujibu kejeli. Nimepata msaada wa kutosha kwenye forum ya Quora na bitcointalk. Ninapenda sana kuweka humu hoja zangu tatizo wengi humu hawapo serious . Huwezi kitegemea jibu serious kwa ishu za maana. So disappointing.
 
Back
Top Bottom