Habari Wakuu. Naomba niuweke huu Uzi hapa kwa sababu nyuzi nyingi za mrengo wa teknolojia nikiziweka kwenye jukwaa husika hazipati views za kutosha.
Naomba programmers/developers wa Blockchain na decentralized finance (DeFi) wanisaidie katika hili. Huenda likawa pia na manufaa kwao. Ila kabla sijaendelea niweke wazi kwamba Mimi si programmer japo nilianza kujifunza Python lakini muda unanibana sijafika mbali. Ila kama enthusiast wa Blockchain na crypto nipo tangu 2013.
Now the issue:
Najua kwa programmers wengi wa Blockchain watakuwa na uelewa mzuri wa hili wimbi la DeFi. Kwa miaka takriban miwili Sasa imekuwa ni hot cake. Kwenye DeFi Kuna kipengelele cha Flash Loans. Hizi ni non collateralized loans.
Unakopa kiasi chochote bila dhamana na kukifanyia unachotaka na kukirudisha papo hapo. Process nzima inakuwa kwenye transaction moja. Kukopa, kutengeneza faida kutumia mkopo na kurudisha mkopo na riba vyote ndani ya transaction moja na ndani ya dakika chache kama siyo dakika moja. Muamala wote unasimamiwa na smart contract.
Nimejaribu flash loans ila kwa sababu karibu zote zipo kwenye blockchain ya Ethereum gass fees ziko juu mno na kama arbitrage umeichelewa basi ni hasara.
Ila Sasa kwa sababu Kuna protocols nyingine zinazoendesha flash loans kwenye blockchains kama Polygon, Digibyte,Cardano na zingine ambazo gass fees ziko chini. Naomba kama Kuna wajuzi wa kutengeneza smart contracts za flash loans pamoja na arbitrage bots tusaidiane hapa.
Shukrani za dhati