Programming language to learn for Web Applications

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,188
Reaction score
6,244
Habari wakuu,

Nataka nianze safari ya kujifunza kutengeza web applications. Mfano kuweza kutengeza inventory systems n.k
Ni language zipi natakiwa kujifunza kutengeza hizo web applications, nataka nitenge muda nijifunze mwenyewe mdogo mdogo labda ntafika 😀
 
hakikisha unajua kwanza make up language
then jifunze Javascript na C++ zitakuboost sana
 
1. Jifunze kwanza Fundamental za Computer Programming kama umetokea kwenye Non-CS background anza na Python kama introductory language

Kwa kua unaenda mdogo mdogo huna haja ya haraka,
Pata misingi kwanza ya Computer Science / Programming kupitia Python

Sababu:
i.Utajua nini maana ya Programming, Jinsi gani Computer ina chakata( excute) Programs, etc..

ii.Itakupa Confidence na kufanya uamini uwezo wako, kwa sababu ukishakua vizuri kwenye language moja hata kama utatumia one year kuifahamu Language (Python) unaweza kujifunza language yoyote baada ya hapo ndani ya mda mfupi hata (hata wiki kadhaa) kwa sababu concept ni zilezile tu, hizi wiki utatumia kuwa Familiar na Syntax na hio language mpya

Usianze kujifunza Programming na languages kama Javascript au PHP (Maoni yangu tu) nitatoa sababu chini

iii.Python ni language nyepesi kueleweka (intuitive) na ina nguvu,
Tunaita General Purpose language, yaani lugha inayoweza kutumika kutengeneza aina yoyote ile ya Program/Software

Languages kama Javascript na PHP ni muhimu haswa kwenye Web Development lakini hazifai kujifunzia programming kwa mara ya kwanza, zitakuchanganya haswa kama unajifunza bila mentor

Baada ya ku master fundamentals za Computer Programming Then Njoo sasa ujifunze

2.HTML

HTML ni simple 'mark up' language inayotumika kutengeneza webpage
Ni rahisi haifai hata kuwekwa kwenye CV yako

Hii itakuchukua Wiki kuisoma, kama ukiisoma kila siku

Then ukimalizana na HTML

3.Jifunze pacha wake CSS

Kazi ya HTML ni kutengeneza webpage (ambayo kimsingi ni document tu) na ku display data zinazohitajika kwenye hio page

But utahitaji ku design page yako katika namna ya kupendeza, hakuna user atakaye taka webpage yenye design mbovu

So utatumia CSS kupendezesha (style) webpage yako

Hii ni complicated kidogo kuliko HTML, kuwa complicated haina maana kuwa ni ngumu, no ila ina vitu vingi vya kuzingatia

Ila usihofu kwasababu huna haja ya kukalili chochote

Kwa sababu, wewe si wale wanaosoma kwa ajiri ya course works
Jifunze tu fundamentals za CSS kabla hujaamia kwenye

4. CSS Framework
Ukiwa unajifunza CSS itakulazimu kuandika codes zako wewe mwenyewe
Ila baada ya kuelewa kazi na misingi ya CSS ni mda sasa wa kujutua mzigo na kujifunza CSS Framework

Framework ni kama mkusanyiko wa codes,katika case yetu 'Codes za CSS' ambazo zimeandikwa na developers wazoefu kuliko wewe, wewe unachofanya ni kuzitumia kwenye kila project yako
Hii itakufanya uwe productive zaidi kuliko kuandika codes za CSS from the scratch kwa kila project

Kujifunza na kutumia codes za developers wengine ndio siri ya kujua na kuwa productive kwenye programming,

5.Baada ya hapo jifunze basics za Internet na WWW.
Hapa jifunze kuhusu Client Server Architecture
(Client ni computer inayo omba webpage yako, na Server ni computer inayo sikiliza ombi la client na kutuma webpage iliyoombwa)
Basics za HTTP protocol
(Client anapo omba webpage yako anatuma GET request, anapotaka kutuma data kwenye website yako anatuma POST request ikiwa na data alizohitaji, etc...)

6.Baada ya hapo jifunze SQL
Hii inajulikana kama 'Structured Query Language '
Website yoyote ile inayoruhusu watumiaji kutengeneza data zao (ku upload video, photos,chats etc) zinahifadhi hizo data zote kwenye special program inayojulikana kama database
So SQL ni language inayotumika kuzungumza na hio database
Kwa ufupi, SQL ndio language inayozungumza na database ya aina yoyote ile duniani, yet ni rahisi sana

Ukiwa unajifunza SQL utajifunza pia kitu kinachoitwa Database Management System(DBS),
Newbie wengi wanachanganya kati ya DBS na database
Usi fall kwenye hio trap

Ukijifunza SQL pia utajifunza ku interact na DBS yoyote itakayo kuwa kwenye Application yako, anza na hii moja inaitwa MYSQL

7.Mpaka kufika hapa, hakuna tena kitakacho kuzuia,
Hapa ni mda wa kuchagua silaha ipi utaitumia kwenye Web Programming

Na hapa ndipo confusion zinapoanza
Mpaka sasa utakua unaifahamu Python kwa uzuri, kama nilivyokwambia Python ni general purpose, inaweza tumika vizuri ku program web application

Ila nilikwambia kuwa kuna Framework kwenye CSS, vile vile kuna language zina Framework Ikiwemo Python

Popular web framework ya Python ni Django
Kumbuka Framework zipo kukurahisishia kazi, so usihizi una mzigo tena wa kujifunza

Mimi situmii Python kwenye web natumia PHP, kwa sababu nilianza kujifunza PHP kabla ya Python, wewe tumia Python kwa sababu umeanza na Python

8.Mwisho maliza na Javascript kwasababu hii ni defacto language ya web bila kusahau Javascript framework kama Reactjs na Vue, mpaka kufika hapa utakua na utashi wa kuamua ipi tool ujifunze

9.Kisha kifunze kuhusu Git na Github

10. Design pattern & Architecture

11.(Extra) Machine learning na A.I
Web app zinazotengeneza pesa nyingi duniani hazikosi hii kitu
Na hapa utakuja kunishukuru kwanini nilikwambia uanze na Python
 
Mark up language, HTML CSS ,JavaScript

Back end; Php,Python, node js,

Relational DB; SQL, mysql

Artificial intelligence: for NLP,and
security

Websites Hosting
 
1. Jifunze kwanza Fundamental za Computer Programming kama umetokea kwenye Non-CS background anza na Python kama introductory language

Kwa kua unaenda mdogo mdogo huna haja ya haraka,
Pata misingi kwanza ya Computer Science / Programming kupitia Python

Sababu:
i.Utajua nini maana ya Programming, Jinsi gani Computer ina chakata( excute) Programs, etc..

ii.Itakupa Confidence na kufanya uamini uwezo wako, kwa sababu ukishakua vizuri kwenye language moja hata kama utatumia one year kuifahamu Language (Python) unaweza kujifunza language yoyote baada ya hapo ndani ya mda mfupi hata (hata wiki kadhaa) kwa sababu concept ni zilezile tu, hizi wiki utatumia kuwa Familiar na Syntax na hio language mpya

Usianze kujifunza Programming na languages kama Javascript au PHP (Maoni yangu tu) nitatoa sababu chini

iii.Python ni language nyepesi kueleweka (intuitive) na ina nguvu,
Tunaita General Purpose language, yaani lugha inayoweza kutumika kutengeneza aina yoyote ile ya Program/Software

Languages kama Javascript na PHP ni muhimu haswa kwenye Web Development lakini hazifai kujifunzia programming kwa mara ya kwanza, zitakuchanganya haswa kama unajifunza bila mentor

Baada ya ku master fundamentals za Computer Programming Then Njoo sasa ujifunze

2.HTML

HTML ni simple 'mark up' language inayotumika kutengeneza webpage
Ni rahisi haifai hata kuwekwa kwenye CV yako

Hii itakuchukua Wiki kuisoma, kama ukiisoma kila siku

Then ukimalizana na HTML

3.Jifunze pacha wake CSS

Kazi ya HTML ni kutengeneza webpage (ambayo kimsingi ni document tu) na ku diplay data zinazohitajika kwenye hio page

Na hapa utakuja kunishukuru kwanini nilikwambia uanze na PHP
Salute Sana bro
 
Huu ni upendo wa dhati, hongera sana bro kwa kuchukua muda wako na kumuandalia jamaa njia ya kufuata, natumai atafaidika.
 
Kaka umejibu mpaka unakera sasa aise big up
 
sory mkuu maelezo kidogo apo kwenye design patern and architecture
 
Huu ni upendo wa dhati, hongera sana bro kwa kuchukua muda wako na kumuandalia jamaa njia ya kufuata, natumai atafaidika.
Bro usije ukawa unatupotezea muda ku chukua maoni...vitu ni vyepesi tu Ila ni rahs kuishia njian
 
sory mkuu maelezo kidogo apo kwenye design patern and architecture
Ku develop complex software, iwe web, mobile au desktop application sio rahisi

Kuna vitu vingi vya kuzingatia
Mfano,scalability
Jinsi gani itaweza kukua kulingana na user base
(Pretend tume develop social network app kama Facebook)

Tulianza na simple website yenye files 6 tu za .php kwenye college yetu
Now kila colleges Marekani inahitaji Facebook

Now Facebook imekua slow,tuli design for single college now inabidi tu serve kila college

Scalability ni jinsi gani tuna extend codebase yetu ku handle additional requests

Tunachofanya tuna buy more servers, kila college iwe served na server yake zote ziki communicate na single database

Hapa ndipo system architecture inapoingia

Kila complex application lazima iwe na proper architecture itakayo iruhusu i scale bila tatizo lolote

Thus why, ni recommended kujifunza web framework kwa sababu zina enforce architecture nzuri kwenye system yako

Django, Laravel zina built in MVC architecture
Otherwise utajikuta unachanganya different logic kwenye sehemu moja,kama Newbie wanavyochanganya code za HTML ndani ya PHP

Hio ni advantage ya kujifunza System architecture au design patterns
 
“THE BEST WAY TO FIND YOURSELF IS TO LOSE YOURSELF IN THE SERVICE OF OTHERS.” ― MAHATMA GANDHI​

Hapo kweny php na html ebu fafanua kidogo mtaalam maana ni mmj wapo kati yao wanaochanganya mmb
 
Bro usije ukawa unatupotezea muda ku chukua maoni...vitu ni vyepesi tu Ila ni rahs kuishia njian

Sijaelewa unamaanisha nini hapa, mimi nimemshukuru huyo mdau hapo kwa kumrahishia mwenzie hii safari kwa kueleza vizuri sana, nafahamu ni safari ngumu na inahitaji kujitolea, mimi hapa nina uzoefu wa software development karibu miaka kumi sasa na kila siku haipiti bila kujifunza.
 
Big up
 
Back
Top Bottom