NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Our elevated Expressway has BRT lanes too. Sit down.soma taratibu unielewe.
nakwambia thika road sio banchmark ya barabara ila ufanisi wake,ndio sababu pamoja na kuwa nzuri bado kuna foreni ya kipuuzi nairobi,thats why wengine badala ya kuhangaika na elevated kama hii kwenye huu uzi tunahangaika na BRT network instead,maana lengo ni kufuta foreni kabisa.
unazungumzia flyover,hizo hazifanani function na thika road wala hii elevation mnajenga hapa.flyover inaondoa jam janction.so haizuiliki kuwepo.
Hata hii expressway wanayoiponda wakiijenga hatutalala humu.thika road sio elevated road wewe kijana...ata outering ni sehemu ndogo yenye iko elevated..alafu waongea haya yote na mlipopata ka interchange ka juu kwa juu mlimaliza miezi humu jamii forum mkijigamba,kujipiga vifua na kujaza servers kwa jipicha
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Our elevated Expressway has BRT lanes too. Sit down.
Empty rhetorics are silenced by facts, huwa wanaongea Sana but when we finish projects tukiweka evidence wanapotea kidogo ama wanatafuta pakutokea na kibera ama njaa, turkana GDP ya kwenye makaratasi., eti cooked data na ukiwapa evidence ya economic output in comparison na yao wanakimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kitu inanifurahisha na hii thread ni ati hakuna kusumbuana kwingi. Hakuna wale mahaters. Wamehepa wote maana hapa ni kazi tu. Picha after picha. Hadi haters wamehepa. Hawawezi kuvumilia hii joto. Huku ni kumuoto.
Mombasa ndio itakua raha ju hakuna thread humu ya progress ya phase two dongo kundu and other projects and works are on going, tunnels and flyovers[emoji91][emoji91][emoji91] tukimwaga evidence watabaki tu na Dar to compare..Kitu inanifurahisha na hii thread ni ati hakuna kusumbuana kwingi. Hakuna wale mahaters. Wamehepa wote maana hapa ni kazi tu. Picha after picha. Hadi haters wamehepa. Hawawezi kuvumilia hii joto. Huku ni kumuoto.
I agree. Kuna mtu anaitwa Geza Ulole. Nilipomwambia kwamba dongo kundu kunajengwa bridge mbili, apart from Mombasa gate bridge, akashangaa sana. Akaanza kulialia. Huo mradi tutashtukia tu umemalizika bila sisi kumwaga mapicha huku.Mombasa ndio itakua raha ju hakuna thread humu ya progress ya phase two dongo kundu and other projects and works are on going, tunnels and flyovers[emoji91][emoji91][emoji91] tukimwaga evidence watabaki tu na Dar to compare..
yap...mombasa mambo mengi yanafanyika kimyakimya,changamwe to jomvu road project ni balaa,kibarani causeway inavunjwa pajengwe bridge alafu dongo kundu ndio pigo la mwaka...mombasa itakua tamu sana .in matters infrastructure mimi kama mzaliwa wa msa nitamkumbuka sana uhuru.hakututupaMombasa ndio itakua raha ju hakuna thread humu ya progress ya phase two dongo kundu and other projects and works are on going, tunnels and flyovers[emoji91][emoji91][emoji91] tukimwaga evidence watabaki tu na Dar to compare..
hatuwezi kuja kuwavurugia furaha yenu kiasi mliyo nayo.Kitu inanifurahisha na hii thread ni ati hakuna kusumbuana kwingi. Hakuna wale mahaters. Wamehepa wote maana hapa ni kazi tu. Picha after picha. Hadi haters wamehepa. Hawawezi kuvumilia hii joto. Huku ni kumuoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatuwezi kuja kuwavurugia furaha yenu kiasi mliyo nayo.
[emoji1][emoji1]utakuwa ukatili.
kama kamati ya roho mbaya tunasubiri ianzs kutumika.
The better. They do little wanadhani Kenya is stagnant.I agree. Kuna mtu anaitwa Geza Ulole. Nilipomwambia kwamba dongo kundu kunajengwa bridge mbili, apart from Mombasa gate bridge, akashangaa sana. Akaanza kulialia. Huo mradi tutashtukia tu umemalizika bila sisi kumwaga mapicha huku.
Mchina anaanza kuwapima corona kwa swabs kwa njia yao mpya ile. Si anawadai hivyo mtainama mupimwe mpatiwe na chanjo.The better. They do little wanadhani Kenya is stagnant.
Kazi yake Mombasa ndio imenishangaza., road network anayounganisha pale is [emoji91][emoji91][emoji91]., good thing ni kimya kimya., Wacha wamalize tutafungua thread!Why lie Uhuru has done more than any sub saharan president when it comes to Infrastructure. Yani hii second term ameamua kugeuza Kenya kabisa!!!!!