Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
- Thread starter
- #81
Wewe ni mjinga sana. Sijui hata nina argue na wewe ya nini. Kama hio SGR inatengeneza losses kama vile hio article uliyopost inavyosema na kwamba hii SGR haiwezi kulipia hata operational costs pekee basi hio pesa ya loan inayokatwa inatoka wapi? Utakata vipi pesa ya loan ikiwa hata pesa ya kucover operational costs tu haitoshi? Ulipeleka wapi ubongo wewe? Kama nilivyosema GOK ndio inayolipa hio deni straight from treasury kwa hivyo deni litalipwa tu na hakuna default itakayotokea hata ikiwa SGR itaendelea kutengeneza losses. Treasury ndio inalipa kwa hivyo deni litalipwa tu whether SGR makes a profit or not. Get that into your head.wacha upumbavu pesa yote ya SGR Kenya inakusanywa kwa account serikali ya Kenya haina umiliki na inaenda kulipa deni! treasure stepped in as a guarantor since the SGR can not service the debt!
![]()
Kenya: China faces a critical test in train debt - The Africa Report.com
The collapse of Kenya’s SGR would be a spectacular failure for both President Uhuru Kenyatta, who staked his legacy on big infrastructure projects like this, and the Chinese who held up the railway as an exemplar of its Belt and Road Initiative.www.theafricareport.com