Progress ya Nairobi expressway

Progress ya Nairobi expressway

wacha upumbavu pesa yote ya SGR Kenya inakusanywa kwa account serikali ya Kenya haina umiliki na inaenda kulipa deni! treasure stepped in as a guarantor since the SGR can not service the debt!

Wewe ni mjinga sana. Sijui hata nina argue na wewe ya nini. Kama hio SGR inatengeneza losses kama vile hio article uliyopost inavyosema na kwamba hii SGR haiwezi kulipia hata operational costs pekee basi hio pesa ya loan inayokatwa inatoka wapi? Utakata vipi pesa ya loan ikiwa hata pesa ya kucover operational costs tu haitoshi? Ulipeleka wapi ubongo wewe? Kama nilivyosema GOK ndio inayolipa hio deni straight from treasury kwa hivyo deni litalipwa tu na hakuna default itakayotokea hata ikiwa SGR itaendelea kutengeneza losses. Treasury ndio inalipa kwa hivyo deni litalipwa tu whether SGR makes a profit or not. Get that into your head.
 
duh basi kiboko.nikadhani max ni 120km/h kama hapa bongo.

route zetu ni ndefu mno,ukiweka under 80km/h watu watalala njiani.
120 km/h ni hatari sana njiani, tuambiane ukweli ndugu. Hio 120 km/h hata reaction time ya dereva haitoshi yeye kuhepa ajali. Yaani dereva akiwa anapiga 120 km/h halafu ghafla mtu ajaribu kuvuka barabara mbele ya basi au dereva aone bump mbele yake, basi dereva anaweza kufanya ajali virahisi sana. Hio 120 km/h ingekuwa bora zaidi kama ingetumika kwenye expressway ambapo hakuna bumps na hakuna corners nyingi kwa hivyo unaweza kupiga 120 km/h bila tatizo, hata unaweza kuwa mkono mmoja uko kwenye simu na nyingine kwenye steering wheel maana unajua hakuna bumps na hakuna corners za kishenzi zinazotokea kighafla. Isitoshe barabara za expressway ni pana. So kwa maoni yangu 100 km/ h ndio inastahili iwe maximum kwa barabara za kawaida.
 
IMG_20210106_080033.jpg
 
ukisikia jiwe unawahi chooni[emoji38][emoji38].

haishiwi hits yule.

kaa mkao wa kula.
huu uzi hamuezani nao kabisa....mkiwa na barbara kama outering road ama thika road tutaongea.Ila kwa sasa kaeni kando kidogo kwa maana mnajitia aibu
 
huu uzi hamuezani nao kabisa....mkiwa na barbara kama outering road ama thika road tutaongea.Ila kwa sasa kaeni kando kidogo kwa maana mnajitia aibu
lengo sio kujenga barabara kama thika road ila ni kuondoa foreni ambayo ni kero na hasara kiuchumi.

ndio sababu nyinyi mnahangaika na elevated kama hii sisis tunahangaika na BRT ili kuondoa kabisa ulazima wa gari nyingine nyingi kuingia centre[emoji38][emoji38].it is all about plan wala usicatch.
 
thika road sio elevated road wewe kijana...ata outering ni sehemu ndogo yenye iko elevated..alafu waongea haya yote na mlipopata ka interchange ka juu kwa juu mlimaliza miezi humu jamii forum mkijigamba,kujipiga vifua na kujaza servers kwa jipicha
 
soma taratibu unielewe.

nakwambia thika road sio banchmark ya barabara ila ufanisi wake,ndio sababu pamoja na kuwa nzuri bado kuna foreni ya kipuuzi nairobi,thats why wengine badala ya kuhangaika na elevated kama hii kwenye huu uzi tunahangaika na BRT network instead,maana lengo ni kufuta foreni kabisa.

unazungumzia flyover,hizo hazifanani function na thika road wala hii elevation mnajenga hapa.flyover inaondoa jam janction.so haizuiliki kuwepo.
 
Back
Top Bottom