Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
- Thread starter
-
- #141
Socrates au sijui ni Plato leo kama si Aristotle, may be Emmanuel Kant,
Umenihoji kuhusu U-Mimi, na kudai kama mimi nakalia kiti kikuu, kisha baada ya nukta tatu, unaniuliza Katiba yangu iko wapi!
Don't you see kuwa tayari umeshavunja kanuni kwa kunipigia kelele kulaani U-mimi, lakini unategemea nije na katiba?
Najua Watanzania wanachotaka, ni maisha bora, ingawa mara nyingi wanapenda kujineemesha bila kutoka jasho.
Nimeeleza kuwa PPPT hakitatoa ubaguzi au upendeleo maalumu kwa mtu yeyote. Ikiwa wewe ni Mtanzania au mtu anayekaa Tanzania au ni jirani wa Tanzania au unaamini ile charter ya umoja wa mataifa ambayo iko ndani ya Katiba ya Tanzania, basi uje kuwa PPPT itakutumikia.
Kama kutakuwa na vijana ndani ya chama, watakuwa na nafasi sawa na wanawake, wazee, wastaafu, vilema, waislamu, wakristo, wamakua, wadigo, walio na PHD, waliokwenda ngumbaru, wenye kuamini miti hata chekechea.
Lakini kama kweli unania ya mabadiliko na kukijua vizuri PPPT, kwa nini usijiunge nasi basi ukashiriki katika mchakato mzima wa kukijenga chama na si kusema katiba inasemaje au kama mimi nitakuwa Mwenyekiti na upendeleo gani utafanywa kwa makundi.
Do the right thing and the right way!