Progressive People's Party of Tanzania

Progressive People's Party of Tanzania

Socrates au sijui ni Plato leo kama si Aristotle, may be Emmanuel Kant,

Umenihoji kuhusu U-Mimi, na kudai kama mimi nakalia kiti kikuu, kisha baada ya nukta tatu, unaniuliza Katiba yangu iko wapi!

Don't you see kuwa tayari umeshavunja kanuni kwa kunipigia kelele kulaani U-mimi, lakini unategemea nije na katiba?

Najua Watanzania wanachotaka, ni maisha bora, ingawa mara nyingi wanapenda kujineemesha bila kutoka jasho.

Nimeeleza kuwa PPPT hakitatoa ubaguzi au upendeleo maalumu kwa mtu yeyote. Ikiwa wewe ni Mtanzania au mtu anayekaa Tanzania au ni jirani wa Tanzania au unaamini ile charter ya umoja wa mataifa ambayo iko ndani ya Katiba ya Tanzania, basi uje kuwa PPPT itakutumikia.

Kama kutakuwa na vijana ndani ya chama, watakuwa na nafasi sawa na wanawake, wazee, wastaafu, vilema, waislamu, wakristo, wamakua, wadigo, walio na PHD, waliokwenda ngumbaru, wenye kuamini miti hata chekechea.

Lakini kama kweli unania ya mabadiliko na kukijua vizuri PPPT, kwa nini usijiunge nasi basi ukashiriki katika mchakato mzima wa kukijenga chama na si kusema katiba inasemaje au kama mimi nitakuwa Mwenyekiti na upendeleo gani utafanywa kwa makundi.

Do the right thing and the right way!
 
Mkuu kwanza it takes more than just simple idea to make something work. It is the follow through that is most important. Mtu unaweza ukawa na idea ya picha nzuri kichwani lakini ukiichora isitokee kama ulivyo waza. Cha kujiuliza ni ume jiandaa vipi kufollow through? Na kumbuka kuwa lawama kubwa CCM inayo beba sasa ni kuto kutekeleza ahadi zake.

Umeuliza swali la msingi, na ndio maana tumesema kuwa sis hatukimbilii madaraka, tunakwenda kufanya kazi kwa kushirikiana na Watanzania na si kuwahutubia na kuwapa kauli hewa.
 
Socrates au sijui ni Plato leo kama si Aristotle, may be Emmanuel Kant,

Umenihoji kuhusu U-Mimi, na kudai kama mimi nakalia kiti kikuu, kisha baada ya nukta tatu, unaniuliza Katiba yangu iko wapi!

Don't you see kuwa tayari umeshavunja kanuni kwa kunipigia kelele kulaani U-mimi, lakini unategemea nije na katiba?

Najua Watanzania wanachotaka, ni maisha bora, ingawa mara nyingi wanapenda kujineemesha bila kutoka jasho.

Nimeeleza kuwa PPPT hakitatoa ubaguzi au upendeleo maalumu kwa mtu yeyote. Ikiwa wewe ni Mtanzania au mtu anayekaa Tanzania au ni jirani wa Tanzania au unaamini ile charter ya umoja wa mataifa ambayo iko ndani ya Katiba ya Tanzania, basi uje kuwa PPPT itakutumikia.

Kama kutakuwa na vijana ndani ya chama, watakuwa na nafasi sawa na wanawake, wazee, wastaafu, vilema, waislamu, wakristo, wamakua, wadigo, walio na PHD, waliokwenda ngumbaru, wenye kuamini miti hata chekechea.

Lakini kama kweli unania ya mabadiliko na kukijua vizuri PPPT, kwa nini usijiunge nasi basi ukashiriki katika mchakato mzima wa kukijenga chama na si kusema katiba inasemaje au kama mimi nitakuwa Mwenyekiti na upendeleo gani utafanywa kwa makundi.

Do the right thing and the right way!

Mkuu I think you got me wrong. Nilicho kuwa nauliza mimi ni je wewe ndiyo utakua mwenyekiti au upo tayari kuachia uwenyeketi kama utaona mwingine anafaa? Nauliza hivi kwa sababu mara nyingi muanzilishi wa chama ndiyo anakua mwenyekiti. Au hapo nadanganya mkuu?

Mkuu sababu ya kuuliza katiba ni kwa sababu kila chama kina hitaji katiba. Nilicho kuwa nauliza mimi specifically ni kwamba wewe ni tayari mwenyekiti wa hicho chama au kama kutakua na uchaguzi. Nia ya kuuliza hivi ni kwa sababu ile ile kwamba waanzilishi wengi wa vyama wanakua automatically wenyekiti. Sasa nilicho kua nauliza mimi ni kama utakua mwenyekiti moja kwa moja, mwenyekiti wa muda au inakuaje.

Siadvocate upendeleo wa kikundi chochote. Kuuliza uta wafanyia nini vijana siyo kutenga watu wengine. Mimi nimeuliza kama kijana. kwa sababu kama nita toa mchango wowote kwa chama chako ni kama kijana, siyo mzee or whatever. Sidhani kama ilikua vibaya kama kijana kuuliza vijana watakua na nafasi gani katika chama chako.

Mkuu kila chama kinaendeshwa kwa katiba. Sijaona ubaya wa kuuliza katiba wa chama chako. Sija sema njia hii ni sahihi na njia hii siyo sahihi. My simple question was katiba ya chama chako ina semaje? Au mkuu ni makosa kujua katiba ya chama chako?

Kuhusu kujoin chama chako mkuu hiyo wala siyo shida. Ila kabla sija jiunga na chama nafikiri ni hekima kuchunguza kwanza na kuangalia kama chama kinaendana na maadili yako au mawazo yako. Ninacho fanya mimi ni kujaribu kujua zaidi kuhusu chama chako na kama mwananchi sidhani kama hapo nimefanya kosa. I have to make an informed choice don't I?
 
Umeuliza swali la msingi, na ndio maana tumesema kuwa sis hatukimbilii madaraka, tunakwenda kufanya kazi kwa kushirikiana na Watanzania na si kuwahutubia na kuwapa kauli hewa.

Great mkuu nakubaliana na wewe. Just remember that respect is earned not given. Nadhani mkifanya mnacho sema in time mta gain heshima ya watu wengi sana. Chama chako kikifanya vizuri mimi nitakua wakwanza kutoa pongezi mkuu.
 
Mkuu I think you got me wrong. Nilicho kuwa nauliza mimi ni je wewe ndiyo utakua mwenyekiti au upo tayari kuachia uwenyeketi kama utaona mwingine anafaa? Nauliza hivi kwa sababu mara nyingi muanzilishi wa chama ndiyo anakua mwenyekiti. Au hapo nadanganya mkuu?

Mkuu sababu ya kuuliza katiba ni kwa sababu kila chama kina hitaji katiba. Nilicho kuwa nauliza mimi specifically ni kwamba wewe ni tayari mwenyekiti wa hicho chama au kama kutakua na uchaguzi. Nia ya kuuliza hivi ni kwa sababu ile ile kwamba waanzilishi wengi wa vyama wanakua automatically wenyekiti. Sasa nilicho kua nauliza mimi ni kama utakua mwenyekiti moja kwa moja, mwenyekiti wa muda au inakuaje.

Siadvocate upendeleo wa kikundi chochote. Kuuliza uta wafanyia nini vijana siyo kutenga watu wengine. Mimi nimeuliza kama kijana. kwa sababu kama nita toa mchango wowote kwa chama chako ni kama kijana, siyo mzee or whatever. Sidhani kama ilikua vibaya kama kijana kuuliza vijana watakua na nafasi gani katika chama chako.

Mkuu kila chama kinaendeshwa kwa katiba. Sijaona ubaya wa kuuliza katiba wa chama chako. Sija sema njia hii ni sahihi na njia hii siyo sahihi. My simple question was katiba ya chama chako ina semaje? Au mkuu ni makosa kujua katiba ya chama chako?

Kuhusu kujoin chama chako mkuu hiyo wala siyo shida. Ila kabla sija jiunga na chama nafikiri ni hekima kuchunguza kwanza na kuangalia kama chama kinaendana na maadili yako au mawazo yako. Ninacho fanya mimi ni kujaribu kujua zaidi kuhusu chama chako na kama mwananchi sidhani kama hapo nimefanya kosa. I have to make an informed choice don't I?

If I may hint, Katiba itaundwa na Wanachama na si mimi peke yangu.

Kuwa na wazo na kuanzisha chama hakunifanyi moja kwa moja niwe mwenyekiti. Hayo ni ya kizamani na sisi ni mbegu mpya, mkate tunaumega sote na si aliyekuja na wazo pekee.

Ukisoma Waraka wa mchungaji na hasa kipengele cha uongozi, utajua PPPT itakuwa chama cha namna gani na hivyo hilila Katiba lisikutie shaka.

Kama unaamini kuwa Mchungaji na wenzake watakufikisha salamu huko uendako, basi hakuna haja ya kuuliza tunatumia petroli ya namna gani au kama mafuta ya breki ni Castroil au BP!
 
Thanks Presidaa Kishoka, all the best of luck. Mtu anaweza kufikiri ni utani halafu yakaja kuwa kweli. Lakini sijamsikia mtawala wa kiafrika anayefanya anachokusudia au anachoahidi kukifanya akiingia Magogoni.

Leka
 
kial mtu anweza kuanzisha chama..........manake ni rahsii kufanya hivyo ushauri wangu mchungaji heb uje ugombee ubunge kwa vyama vilivyopo then ndo utoe elimu kwa wananchi ukiwa bungeni itakuwa imesaidia saana kuliko kuanza tena kugawa wanachama wa vyama vilivyopo kwa kuwaanzishai vyama vingine ndo maana nchi inaongozwa na chama kimoja tokea uhuru.....
 
Kungekuwa na Wagombea binafsi bila kuwa na chama, ningegombea Ubunge. Vyama vyote kwa sasa havifai machoni pangu na sikubaliani na mifumo yao ya kiutendaji, sera zao na Itikadi zao.

So simply, no thanks!
 
Rev. Kishoka,
Ni muhimu sana mada hii ibakie na Uhai...Nimeikuta page ya Pili baada ya kujiuliza kulikoni mbona.....mara hiyooooo!
Keep it upu bob, mtazamo wenu utavuta wengi na hakika kama tunaweza kukupeni support nadhani hapa ndipo mahala pa kuanzia...jaribu kila siku kuinbgia hapa na kutupa somo maanake Mjamaa na mzawa mimi umenigusa haswa!
 
Mchungaji,

Where are we on this? au ndo ukaamua uje na CCJ baada ya changamoto uliyopewa ya jina la ''Kiblurey'' ....PPPT?
 
Mchungaji huku majimbo watu wamechukua copyright. Urais nao umechukuliwa copyright hadi JK amalize miaka kumu,otherwise ukigombea unakufa.

Hujasikia Sheikh Yahya anavyotishia huku? Vinginevyo pitia Bagamoyo kwanza ndugu yangu kama unaamini hayo.
 
Nafikiri hii inapply tu kwa watu wa mlengo wa imani hizo za kishirikina tu mkuu!

Hata na hivyo, ukimsoma vizuri Mchungaji malengo ya chama hicho si kukimbilia tu madaraka, bali kujenga msingi mzuri wa chama toka ngazi za chini and then later on waingie kny kinyang'anyiro!
 
Mkuu mwisho wa siku madhumuni ya chama cha siasa na makini ni kutawala/kuchukua dola ambayo ndiyo madaraka yenyewe.

Naweka changamoto, siyo naye aje aanze mambo yale yale ya siasa za Tanzania kutegemea ramli za waganga.
 
Mkuu mwisho wa siku madhumuni ya chama cha siasa na makini ni kutawala/kuchukua dola ambayo ndiyo madaraka yenyewe.
Sawa kabisa.......Malengo makubwa ya chama cha siasa ni kushika dola....agreed hapo!

Naweka changamoto, siyo naye aje aanze mambo yale yale ya siasa za Tanzania kutegemea ramli za waganga
Hapa nilichotaka kusema ni kuwa Mchungaji na chama chake ndhani hawana malengo ya kugombea urais 2010!....utaona Yahya anazungumzia mpinzani wa JK 2010 na si miaka ijayo..........! hata na hivyo nakubaliana na changamoto yako.....vyama vinatakiwa viongozwe kisayansi zaidi na si kwa nguvu za giza......!
 
Nafikiri hii inapply tu kwa watu wa mlengo wa imani hizo za kishirikina tu mkuu!

Hata na hivyo, ukimsoma vizuri Mchungaji malengo ya chama hicho si kukimbilia tu madaraka, bali kujenga msingi mzuri wa chama toka ngazi za chini and then later on waingie kny kinyang'anyiro!

Kama ni hivyo kwanini asianzishe NGO yenye lengo la kuwaelimisha kwanza Watanzania kuhusu hayo aliyoyaanisha kwenye post yake?

Tatizo kubwa na Watanzania ni mawazo mgando.
 
Duuh mzee... NGO tena? Wakianzisha chama, kazi mojawapo ya chama ni kuelimisha wananchi mzee....then lengo kubwa ni kushika dola....mkuu, so unaua ndege wawili kwa jiwe moja......!
 
Kama ni hivyo kwanini asianzishe NGO yenye lengo la kuwaelimisha kwanza Watanzania kuhusu hayo aliyoyaanisha kwenye post yake?

Tatizo kubwa na Watanzania ni mawazo mgando.

NGO si ziko nyingi na mshazigeuza kuwa kampuni za mifukoni hata kuwajibishwa haiwezekani?

Sisi tunataka tuwajibike kwa Wananchi na Wananchi watoe neno na si kujifungia katika vikao maalum au kuunda kamati maalum!
 
Rev..Umofia Kwenu!!! yaaaaah.Chama kipya oyee
 
Rev. Kishoka,
wasikupe wasiwasi kwani Utabiri wa Sheikh Yahya huishia ndani ya CCM..hiyo ndio bahari yake, hivyo huyo anayetabiriwa kufa ni lazima awe mwana CCM kugombea kiti cha Urais kwa kupitia tiketi ya CCM..MIKWARA mizito hiyo babu!

Utabiri wangu kinyume cha Yahya nakwamba nabii (kiongozi) wa kweli atakuja mwaka 2015 na nje ya chama tawala, hivyo sii vibaya kujipanga toka leo maanake hautakuwa nje ya Utabiri huu. Kikubwa kitakachotokea mwaka 2005 ni zaidi ya asilimia 50 ya wabunge wa leo kupoteza Ubunge wao.
 
Back
Top Bottom