MIFUGOKILIMO SUPPORT
Member
- Mar 18, 2015
- 51
- 0
Wazo lako safi sanaaaaaaaaaaaa......mimi kwa taarifa yako nimeamua kuwa mkulima mkubwa wa mihogo andaa soko tutawasiliana. Nitafutie pia soko la kuku wa kienyeji wapo wa kutosha.............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0768069996/0719786521Kama link hiyo inagoma kufunguka na kukudirect kwenye homepage ya website husika tafadhali ni-inbox PM namba yako ya simu au email address yako nikutumie link husika.
Mzuzu,
Fund zipo nyingi za kutosha, zinakosa wachukuaji.
Kama biashara yako ipo katika mfumo huo, angalia creteria zao hapa chini.
- Funds zipo kama biashara yako ndiyo inaanza (Startup) au ni kukuza mtaji
- Inakubalika haraka kama itakuwa katika mfumo wa cooperatives/association
- Wanachama wa jinsia ya kike wawepo kwa wingi
- Funds wanazotoa ni kuanzia $ 50,000 hadi $ 250,000 kwa mradi
Criteria for financing applications
General information
Information about the organisation
- Name and address of organisation
- Continent, country and region, town or city of implementation
- Date on which the organisation was founded
- Type of organisation (association, foundation, ...)
Information about the plan of action for the coming period
- Mission statement and objectives of the organisation
- Views on political and socio-economic context (regional/local and national) and what kind of role your organisation plays in this
- Organisation's position in local society (incl. collaboration with others)
- Summary of the activities organised by the organisation if the proposed plan does not cover all of the organisation's activities
- Organisational structure (incl. information about board and staff (gender specific))
- Information about the way in which the target group is represented in the organisation
- Planning, monitoring and evaluation system
- Financial position, financial policy and financial management of the organisation (incl. existing sources of funding)
- History and track record (what has the organisation done and achieved up until now)
The request should be accompanied by the following:
- Analysis of the existing situation, risks and opportunities in the working area in relation to the proposed plans
- Characteristics, size and location of the intended target group (gender specific)
- Long-term objectives of the plan of action (what kind of change do you ultimately hope to achieve in the situation of the target group)
- Expected results at the end of this period
- Strategy (how are the objectives to be achieved, how is sustainability safeguarded)
- Start and end date of the proposed plan of action
- Financial plan and financial policy for the period covered by the plan
- Long-term budget broken down by activities (programmes/categories) per year in the local currency, including the contribution/financing requested from Bank and others
Kama mahitaji wanayotaka wao hayana tatizo, funds zipo.
- Articles of Association/Charter of the organisation
- Annual accounts for the last 2 years (if available or otherwise the most recent financial report) plus possibly auditor's reports for the last 2 years
- References
Thanks for your help. We shall look for you.Can you pm me mama Porojo
mkuu kama umefanikiwa katika hili naomba unipe muongozo coz hata mimi nina project ya mambo ya ujenzi na ni very marketable and profitable.
mkuu mzuzu , malila et al nawashukuruni sana kwa mawazo yenu ya kujenga. Hakika machozi yana nilenga lenga kwa kuona namna vijana wa kitanzania mlivyotumia sehemu ya akili na ujuzi wenu kuokoa kizazi hiki.
Natumai siku moja mtakuja toa ushuhuda wenu hapa jukwaani namna umoja wa dhati ulivyo wasaidia kufikia nia yenu.
Natamani nimtumie kopi ya wzo lako waziri mkuu , waziri wa kilimo, waziri wa viwanda na uwekezaji ili aone kuwa tanzania imejaaliwa vijana wenye akili timamu, maono, nia, na maalifa ya kujenga nchi.
Hongereni sana kwa mawazo ya kujenga.
Asante Mkuu,
Naomba nimrudishie Mungu shukrani hizi kwa kuwa tumefanya hicho kidogo kwa uweza wake, naam namwomba Mungu atupe nguvu na uhai na afya ili tufikie malengo na hatimaye tuwe tumechangia maendeleo ya nchi yetu kwa kiasi fulani.
Be blessed mkuu.
mkuu, hao wote wanajua uwezo wetu kimawazo
Bado upo katika kutafuta hizo funding sources?let me know your expectation and what do you have so far,you can as well pm me anytime
Nashukuru mkuu tutawasiliana
Mkuu nilicho jifunza toka kwako ni kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka bila kukata tamaa,uvumilivu,determined na upo focused na wewe ni mwaminifu. Am so disappointed kuona mtu akiomba business plan yako ili akusaidie kutafuta watu wa kukufund hii ni jinsi gani pamoja na kuwa na mafunzo mazuri katika hii thread bado watu wamekuwa wazembe hata kusoma toka post ilipoanza wakatambua hadi stage uliofikia kuwa umeshapata fund sijui nani katuroga sasa kama mtu kusoma tu hawezi hivi hataweza kushawishi hata benk ya nmb impe mkopo wa millioni 100. sababu kwa mtu yeyote ambaye amesoma post zako Mzuzu na Malila hahitaji kuomba business plan sababu mambo yote ya muhimu katika project yako yamezungumzwa kwenye post za awali kiasi kwamba kama mtu alikuwa anahitaji madodoso kwaajili ya kuanzia utafiti yameainishwa kabisa. inauma mtu anapoomba business plan ya mwengine hiyo ni kwamba mtu hawezi kubuni kabisaa hadi aangalizie. Ni vema tubuni hata kidogo tu then watu watusaidie kuboresha na kufanya marekebisho katika mawazo yetu.Siamini kuwa hatuwezi kabisaa kubuni bali tu wavivu wakukaa chini na kufikiri sawa sawa huku tukifanya na kusoma tafiti za changamoto mbalimbali zinazotuzunguka. Bro taifa letu lingekuwa linatoa vijana graduate kama wewe hata 10 katika kila chuo hii nchi isingekuwa hapa. Post yako imenifanya nijione am useless to my country but at the same time it has given me a courage to understand that my counytry owe me. Nifunzo kubwa kwa tulio vyuoni na kaka na dada zetu ambao wanazunguka kila kukicha na bahasha long live bro MzuzuThe scope of this project is above and beyond the level set for the mentioned funding. Nishawaona na tumekubaliana wasaidie wakulima wadogo tutakaowapa mikataba ya kulima na kutuuzia roots
Mkuu nilicho jifunza toka kwako ni kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka bila kukata tamaa,uvumilivu,determined na upo focused na wewe ni mwaminifu. Am so disappointed kuona mtu akiomba business plan yako ili akusaidie kutafuta watu wa kukufund hii ni jinsi gani pamoja na kuwa na mafunzo mazuri katika hii thread bado watu wamekuwa wazembe hata kusoma toka post ilipoanza wakatambua hadi stage uliofikia kuwa umeshapata fund sijui nani katuroga sasa kama mtu kusoma tu hawezi hivi hataweza kushawishi hata benk ya nmb impe mkopo wa millioni 100. sababu kwa mtu yeyote ambaye amesoma post zako Mzuzu na Malila hahitaji kuomba business plan sababu mambo yote ya muhimu katika project yako yamezungumzwa kwenye post za awali kiasi kwamba kama mtu alikuwa anahitaji madodoso kwaajili ya kuanzia utafiti yameainishwa kabisa. inauma mtu anapoomba business plan ya mwengine hiyo ni kwamba mtu hawezi kubuni kabisaa hadi aangalizie. Ni vema tubuni hata kidogo tu then watu watusaidie kuboresha na kufanya marekebisho katika mawazo yetu.Siamini kuwa hatuwezi kabisaa kubuni bali tu wavivu wakukaa chini na kufikiri sawa sawa huku tukifanya na kusoma tafiti za changamoto mbalimbali zinazotuzunguka. Bro taifa letu lingekuwa linatoa vijana graduate kama wewe hata 10 katika kila chuo hii nchi isingekuwa hapa. Post yako imenifanya nijione am useless to my country but at the same time it has given me a courage to understand that my counytry owe me. Nifunzo kubwa kwa tulio vyuoni na kaka na dada zetu ambao wanazunguka kila kukicha na bahasha long live bro Mzuzu
Mkuu
watu wa Oxfarm wanatoa funds kwa projects kama yako. wameshafadhili na kuendeleza miradi kadhaa afrika hivyo usisite kuwatafuta.
mimi nina knowledge ya fairtrade ambapo kama ukitaka tuition na contacts usiogope kuwasiliana.